dady Vanny
Member
- Apr 29, 2018
- 28
- 9
Next week naleta kilo 160-200 ambazo ni sawa na debe 18-20 za maharage rose koko kwa sh 2300 kwa kilo kama unahita naomba nipgigie hapa 0655822872 /0625539442
Kiongozi , kuna taarifa nyingi muhimu umeacha kwenye haya maelezo yako.Habari wana JF nauza maharage kilo 160 equal to debe 18 maharage ya rose koko kilo 2100
Asante mkuu nmekuelewaKiongozi , kuna taarifa nyingi muhimu umeacha kwenye haya maelezo yako.
Pitia hii link.
Kwanini unamkatisha tamaa mwenzio? Watanzania jamani sijui tupoje.Kwanza huna uhakika na kilo za maharage yako, pili maharage yako ni kidogo sana kuja kututangazia humu, nilidhani unayo hata tani kadhaa kumbe gunia moja, tafuta wenye vibanda hapo mtaani uwauzie.
Sio kwamba sina uhakika nataka niongeze mengine ndo maana inakua hvoKwanza huna uhakika na kilo za maharage yako, pili maharage yako ni kidogo sana kuja kututangazia humu, nilidhani unayo hata tani kadhaa kumbe gunia moja, tafuta wenye vibanda hapo mtaani uwauzie.
Niko na shamba huko Rujewa hayo yalibaki mengine nmepeleka kwa shuleUmeyatoa wapi kwanza..?maana kuna mmoja roba la mahindi liling'ang'ania kichwani ujue....!
We jamaa mbona unakua mshenz hivoKwanza huna uhakika na kilo za maharage yako, pili maharage yako ni kidogo sana kuja kututangazia humu, nilidhani unayo hata tani kadhaa kumbe gunia moja, tafuta wenye vibanda hapo mtaani uwauzie.
Kwahiyo unataka kutuuzia yaliyobaki(Makombo)eti..?Niko na shamba huko Rujewa hayo yalibaki mengine nmepeleka kwa shule
Mbona jamaa kakupa ushauri mzuri tu mkuu?maana huo mzigo ni mdogo kiukweli so kama ni bora ukawacheki akina mangi wa mtaani kwako kwanza ata kwa mali kauli!!!We jamaa mbona unakua mshenz hivo
Punguza ukali wa nenoWe jamaa mbona unakua mshenz hivo
sio haya! Yale ni ya njanoNi yale maji mara moja?
Nini maana ya matangazo madogomadogo??acheni kunizingua tatzo mnakua wagumu kuelewaKwahiyo unataka kutuuzia yaliyobaki(Makombo)eti..?
Niko na shamba huko Rujewa hayo yalibaki mengine nmepeleka kwa shule
Unaona ulivyo mjinga unaeleweshwa hutaki.We jamaa mbona unakua mshenz hivo