usengwile
Senior Member
- Sep 7, 2013
- 133
- 47
Nyie jamaa niwakali sana kuna mmoja alikuja na biashara hii akasema yupo ilala dah alikuwa mkali hivi hivi,kuna jambo gani mnaficha?
Noah ml 12 acha utani mimi nauza kwa ml 10
mkuu ni vyema kujua model na specifications zinazopatikana kwenye gari ndio ujibu,
hii ni 2001 model, gear fupi
SR 40,
ninayo nyingine ya 10million kesho ntatupia picha zake
licha ya model ya mwaka 2001 bado upo juu
wanaodhamini kwa matangazo hapo juu (Desktop) 'tradecarview' ya mwaka huohuo ni $1,500 na usafiri ni $1,450 jumla haivuki $3,000 weka uchakavu wa TRA wa zaidi ya miaka 10 gari za Noah hazivuki 10m
US$1,500![]()
kwanini hamtupi ukweli? Toyota Noah TA-AZR60G(2001) / L / US$1,500 / 138,000 km / K.S TRADING - Japanese Used Car [ tradecarview ]
au hata Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info unapata maelezo yote na gari unaletewa wewe ni kujaza Doc. za TRA na Plate No.
Matusini ya nini sasa ? kwani wote ni washamba km weweAcha kuleta ujuaji kwenye mambo usiyoyajua, Toyota Noah ikiwa inauzwa $1500 na vipi vits na GX 100 zitauzwa kwa bei gani? fanya yako mkuu wacha wanaume wa mujini tusake pesa, tafuta wa kulumbana nae na mipasho, plz get outof this , unadhani magari chu. pi kila mtu awe nalo,