Nauza magari haya

Nauza magari haya

Ya kuanzia 2003 na isizidi 2005 mkuu wangu!

2003 model, usd 3300 kuagizia tu, e.g hii wagon
avensus.png
2008 model usd 5400
bbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbb.png
 
Mkuu pole kwa kujibu challenges.ila ki biashara nenda taratibu hapa kuna watu wenye std 1 mpaka magwiji. Wote ni wateja,wengine si wateja,lakini wote wanayouliza yana busara. KWA KIFUPI MTU AKISEMA NAUZA PEN YA BIC KWA SHG 10. NI BORA KUNYAMAZA AU WEWE KUANZISHA THREAD YAKO UKASEMA NAUZA BIC KWA SHG1 KWA SABABU; 1)Tanzania na dunia nzima kuna magari ya wizi au mtu wamemuuwa etc,haswa kwa mikoa fulani hapa TZ. 2)Magari kutofautiana bei si wizi,kuna gari za Km 1M kuna za KM 1,000. Je bei itakuwa sawa/ 3)Kuna magari yamepitishwa Bagamoyo mengine yamepitishwa DSM 4)Kuna magari yamebadilishwa engine mara 10 5)Kuna magari yanatafutiwa yadondokee wapi. 6)Kumshinda mtu kwa bei,si suala la kumuita mwizi.Kitu ni chake,ni bora kutoa ushauri bila kuitana majina. Trade car view wengine wengi wanafanikiwa wengine washamba kama mimi nililiwa. Bora kusema mimi ninalao hil hilo kwa bei hii. Mungu awajalie.
 
Hiyo nyeus ya kwanza kwenye foleni ni bei gan? Na aina gani?
 
Hii inaitwaje na unauzaje mkuu??Na upande wa spare zinapatikanaa lakini??
 
Matusini ya nini sasa ? kwani wote ni washamba km wewe
nimekupa link kweli? Toyota Noah TA-AZR60G(2001) / L / US$1,500 / 138,000 km / K.S TRADING - Japanese Used Car [ tradecarview ]
Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info
na wenzako wote tunaenda huko hata hao Zoom utapata kwa Dola $ 1,000 na nimeeleza usafiri ni km $ 1,450
Utawazia washamba wasiojua kufungua mitandao na hata hapa JF on top kabisa wapo tradecarview
USILAZIMISHE BIASHARA KWA MATUSI Doga elimisha wenzako na wafaidike sio kuwaibia
kizuri chajiuza na kwa taarifa yako situmii Vits na nina Noah Daladala kwenda Mvumi
ni Noah ya 2001
Nimesema link ziko wazi na ni nyingi tu, tena ka kuwasaidia na wengine Zoom wanaweka na simu
Hapo chini kuna mtu wa Arusha

1999 Toyota Noah SR 50 For Sale in Arusha Tanzania | Classified
1999 Toyota Noah SR 50
Price: TSH 9,800,000
Kilometers: 167000
Four Wheel Drive
Transmission: Automatic
Date Listed: Oct 8, 2013

Email Address: Click to Email
Phone: +255 784 588 089
Area: Arusha
081013040020DSC00899.JPG
081013040027DSC00900.JPG
081013040740DSC00898.JPG

Huyu sasa ni wa Dar na simu yake ipo hewani
2003 Toyota Noah

Price: TSH 9,900,000
Kilometers: 45660
Transmission: Automatic
Date Listed: Sep 9, 2013

Email Address: Click to Email
Phone: +255 715 364 676
Area: Dar Es Salaam
090913161003P05-09-13_13.03[1].jpg
090913161010P05-09-13_13.04.jpg

usengwile usinitafutie BAN bure maana jina lako tu ukiotoa WIL linalobaki mm ni mwiko kujibizana nao
Noah ni 10,000,000/= Registered TRA

Kaka kiukweli unaboa sio siri hata ningekua mimi ningekutukana yani upo so childish ....wewe kama unauza gari anzisha thread yako acha watu wafanye biashara ....we braza ni limbukeni umekera sana ...watu wanajitafutia mkate we unaleta ukuda mbona kuna magari hata ya 5M mjini hapa acha hizo acha kabsa ujuaji....
 
Hii inaitwaje na unauzaje mkuu??Na upande wa spare zinapatikanaa lakini??

kaka, hii ni TOYOTA WILL VS, NI VERY COMMON KWA SASA SPARE ZIPO NYINGI SANA, NAANZIA 12M MKUU MAONGEZI NAKUKARIBISHA
 
mkuu nimekuuliza swali naona hujajibu au umeshiba hela tayari??

Sent from my blackberry 9800 using jamiiforums
niwie radhi mkuu, nilikuwa safarin network kimeo, but nmeshajibu
 
niwie radhi mkuu, nilikuwa safarin network kimeo, but nmeshajibu

Nashukuru sana mkuu wangu na asante sana. nitakutafuta

kaka, hii ni TOYOTA WILL VS, NI VERY COMMON KWA SASA SPARE ZIPO NYINGI SANA, NAANZIA 12M MKUU MAONGEZI NAKUKARIBISHA

Asante sanaa mkuu wangu, wacha nijiweke vizuri nitakucheck tu, na ni ya mwaka gani hii?
 
Kaka kiukweli unaboa sio siri hata ningekua mimi ningekutukana yani upo so childish ....wewe kama unauza gari anzisha thread yako acha watu wafanye biashara ....we braza ni limbukeni umekera sana ...watu wanajitafutia mkate we unaleta ukuda mbona kuna magari hata ya 5M mjini hapa acha hizo acha kabsa ujuaji....
Wewe ndio Bwabwa kabisa nani kakwambia ujibu si ungepita tu tu!!
Hapa JF hulazimishwi sona Privacy Policy
Pili hujui kwanini nilimjibu
huyo
@Usengwile Acha kuleta ujuaji kwenye mambo usiyoyajua, Toyota Noah ikiwa inauzwa $1500 na vipi vits na GX 100 zitauzwa kwa bei gani? fanya yako mkuu wacha wanaume wa mujini tusake pesa, tafuta wa kulumbana nae na mipasho, plz get outof this , unadhani magari chu. pi kila mtu awe nalo,
hapa hakuna Mjuaji km una biashara weka lakini majibu yako ndio yatatufanya tukukosoe tena bila matusi licha ya mimi kajibiwa na wengi tu kuwa gari hizo zipo kwa bei ya chini,
JF kwenye Desktop wametangaza magari USED ya Kijapani unashindwa nini kuwaambia wenzako wa BOFYE mnakuja na uongo wa kale eti ni mipasho
Miaka hii magari sio biashara ya kuwadanganya watu tena labda mje na Biashara ya Matusi ndio mtauza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom