Nauza magari haya

Nauza magari haya

matusini ya nini sasa ? Kwani wote ni washamba km wewe
nimekupa link kweli? toyota noah ta-azr60g(2001) / l / us$1,500 / 138,000 km / k.s trading - japanese used car [ tradecarview ]
tanzania directory for business, entertainment & travel info
na wenzako wote tunaenda huko hata hao zoom utapata kwa dola $ 1,000 na nimeeleza usafiri ni km $ 1,450
utawazia washamba wasiojua kufungua mitandao na hata hapa jf on top kabisa wapo tradecarview
usilazimishe biashara kwa matusi doga elimisha wenzako na wafaidike sio kuwaibia
kizuri chajiuza na kwa taarifa yako situmii vits na nina noah daladala kwenda mvumi
ni noah ya 2001
nimesema link ziko wazi na ni nyingi tu, tena ka kuwasaidia na wengine zoom wanaweka na simu
hapo chini kuna mtu wa arusha

1999 toyota noah sr 50 for sale in arusha tanzania | classified
1999 toyota noah sr 50
price: tsh 9,800,000
kilometers: 167000
four wheel drive
transmission: automatic
date listed: oct 8, 2013

email address: click to email
phone: +255 784 588 089
area: arusha
081013040020dsc00899.jpg
081013040027dsc00900.jpg
081013040740dsc00898.jpg

huyu sasa ni wa dar na simu yake ipo hewani
2003 toyota noah

price: tsh 9,900,000
kilometers: 45660
transmission: automatic
date listed: sep 9, 2013

email address: click to email
phone: +255 715 364 676
area: dar es salaam
090913161003p05-09-13_13.03[1].jpg
090913161010p05-09-13_13.04.jpg

usengwile usinitafutie ban bure maana jina lako tu ukiotoa wil linalobaki mm ni mwiko kujibizana nao
noah ni 10,000,000/= registered tra

mkuu this business,mwenzako kaanzisha thread we unakuja kumuharibia na kupost utumbo wako,kwanini usianzishe uzi wako,watu wengine mnakela sana
 
mkuu this business,mwenzako kaanzisha thread we unakuja kumuharibia na kupost utumbo wako,kwanini usianzishe uzi wako,watu wengine mnakela sana
NIGGA unajua unadandia treni kwa mbele?
kwa nini usianzie mwanzo ukajua KISA ni wapi tulipomzuia asitangaze Biashara yake, au ni mtu mmoja unakuja kwa ID tofauti tu, maana badala ya kuwaelimisha wenzenu nao wapate magari (mf NOAH) kwa bei nzuri mnawaficha
Nimesema kila ukurasa wa JF juu kadisa kuna link za Magari km na wewe unalo weka.
Post zote za walikashifiwa kuwa hawajuai biashara ya magari zimewekwa humu, wewe na unaanza na ukurasa wa mwisho.
Ni nani aliyeanza matusi? sisi hatujatukana na wala JF hakuna biashara ya matusi, km mnakuja kwa ID nyingi hiyo biashara ilishachacha
Wako waliogundua kosa na mm nawaunga mkono km
7753710 said:
BF175604_6.jpg
Sasa hii ni NOAH ya 2004 imetembea 177,000kms hawa ni BE FORWARD http://www.beforward.jp/toyota/noah...id=40&alt_port_id=49&insurance=1&inspection=1 bei zao FOB ni 1235 USD na CIF 2833 USD (Dar es Salaam Port) hata ufanye vipi gharama haitafika 10m wewe na bange zako unauza 15m halafu unadai ati ni mwanaume wa mujini unatafuta hela kumbe ni wizi. SHAME ON YOU.
7754227 said:
Mkuu asante sana maana jamaa anaona watu wapuuzi wa maisha kama yeye Noah hata 9m unapata wastani ni m10 nimesema jamaa akanishukia eti yangu itakuwa mbovu sasa na mimi nakuja ba link tuwasaidie wa tanzania wenzetu suyi hawa maboya wanajifanya kuibia watu nawasiwasi hawa ni nadalali wa lumumba na buafra.
Angalia post hizi hawa ni wakongwe wa miaka mingi hapa JF, huwezi leta leo kitu kipya kwa kujiunga mwaka huu wakati tulishakijadili, hakikuhusu pita na mm napita lkn kashfa ndio tunarudi
 
Last edited by a moderator:
mkuu this business,mwenzako kaanzisha thread we unakuja kumuharibia na kupost utumbo wako,kwanini usianzishe uzi wako,watu wengine mnakela sana
Baba yangu ninyi NIGGA mnapewa Link za magari yanakopatikana mnaanza kuwashambulia waliowatangulia hivi kuna ubaya gani kumuelekeza mwana jamvi mwenzako kuwa kuwagiza gari kwa mtandao ni hivi .......................
wewe unambandika tu kuwa Noah ni sh 15m kumbe ni chini ya 10m
ukiambiwa unakuja na matusi
mm nina Noah nimeagiza Port ya Mombasa na Noah zote hapa arusha hazifiki 10m labda mgeni
km Biashara tangazeni kitu kizuri na kibaya acheni kijitembeze chenyewe mbona wenzenu wa Jukwaa la Techno & Gadget hawako km huku mnakolazimisha
Mpaka mwaka ukiisha gari zitapatika katika Yard za DSM kutoka Japan sikumbuki link gani lakini ni Japanese Used Car na naomba uzi huu ufike huko Disemba
 
Last edited by a moderator:
Lazima tushtuane kwa nini tuibiane wakati Matangazo yapo kila mahali hata juu kabisa
Shosti naoana unazungumzia magari ya Be Forward k sikosei ndio ya Japanese Used Car
headimg.jpg

Msinishobokee na mm ila nachotaka kuwaeleza kuwa magari sasa yameshuka thamani.
Link zao hizi hapa https://www.facebook.com/pages/Be-F...100001&utm_content=facebook&utm_campaign=Xmas
BE FORWARD http://www.beforward.jp/toyota/noah/...1&inspection=1
Na yanapatikana DSM kwenye matawi yao hao ma-Argent na kina Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info na wengineo
walivyosema kina Ukwaju secret KakaKiiza na wengineo ni sahihii kabisa huwezi kuagiza Dar ukajiona mjanja mm nipo Arusha nauza pia toka Nairobi na Noah ipo chini ya 10m
 
Last edited by a moderator:
Binti Kadogoo,umesema jambo zuri.
Lakini ukikuta glass duka fulani mtu anauza kwa shg 10, mtu mwingine anauza kwa shg 12,si unamshauri uliyekuta anataka kununua kuwa linganisha na duka lile pale, wanaziuza hizo kwa shg 5,ila sijui kama kudumu,zimetumika vipi au zote hazina matatizo-hayo fanya uchunguzi wewe mwenyewe. Kuna ujanja mwingi kwenye magari,kuna ambayo ni accidented and repainted, lakini la maana ni kumuacha mtu afanye biz na kuwasaidia wanaotaka kununua kuwaonyesha kama kuna sehemu ya kulinganisha.
Unaweza kununua kitu kumbe kimeibiwa huko kilipotoka au unaweza kununua kitu kwa bei kubwa kumbe sababu ni kuwa muuzaji hakuweza ku bargain kwenye ushuru etc.Hata bei za sanda zinatofautiana sana.
Mungu ajalie kila mtu awe na gari-X-mas inakuja.@
Lazima tushtuane kwa nini tuibiane wakati Matangazo yapo kila mahali hata juu kabisa
Shosti naoana unazungumzia magari ya Be Forward k sikosei ndio ya Japanese Used Car
headimg.jpg

Msinishobokee na mm ila nachotaka kuwaeleza kuwa magari sasa yameshuka thamani.
Link zao hizi hapa https://www.facebook.com/pages/Be-F...100001&utm_content=facebook&utm_campaign=Xmas
BE FORWARD http://www.beforward.jp/toyota/noah/...1&inspection=1
Na yanapatikana DSM kwenye matawi yao hao ma-Argent na kina Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info na wengineo
walivyosema kina Ukwaju secret KakaKiiza na wengineo ni sahihii kabisa huwezi kuagiza Dar ukajiona mjanja mm nipo Arusha nauza pia toka Nairobi na Noah ipo chini ya 10m
 
Binti Kadogoo,umesema jambo zuri.
Lakini ukikuta glass duka fulani mtu anauza kwa shg 10, mtu mwingine anauza kwa shg 12,si unamshauri uliyekuta anataka kununua kuwa linganisha na duka lile pale, wanaziuza hizo kwa shg 5,ila sijui kama kudumu,zimetumika vipi au zote hazina matatizo-hayo fanya uchunguzi wewe mwenyewe.
Kuna ujanja mwingi kwenye magari,kuna ambayo ni accidented and repainted, lakini la maana ni kumuacha mtu afanye biz na kuwasaidia wanaotaka kununua kuwaonyesha kama kuna sehemu ya kulinganisha.
Unaweza kununua kitu kumbe kimeibiwa huko kilipotoka au
unaweza kununua kitu kwa bei kubwa kumbe sababu ni kuwa muuzaji hakuweza ku bargain kwenye ushuru etc.Hata bei za sanda zinatofautiana sana.

Mungu ajalie kila mtu awe na gari-X-mas inakuja.@
TZX2012 Jamaa yangu umetoa ushauri wa kweli kabisa, yaani hata ukimkuta jamaa anachomolewa pesa mfukoni (wizi wa finger) eti unyamaze
HUMU NDANI TUNETUKANA eti tunyamaze tusiwaoneshe watu hizo link na magari ya bei nafuu kwa sababu tu watu wapo kibiashara tunachotakiwa tufungue thread zetu (kumbe ni wizi mtupu Noah haifiki 10m)
Binti Kadogoo nakushukuru kwa kutufumbua kuwa Be Forward wametangaza zawadi ya X-mas gari 25 sasa hawa wauzaji wa mitaani mwaka 2014 sijui watauza nini naona watafute biashara ingine
MY TAKE
Humu JF tusaidiane hata kuelekezana wapi kuna ulaji, utajiri hata vitu nafuu kuliko kuumizana km tupo Facebook wanakoshinda kutukanana Udaku na kuibiana
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio Bwabwa kabisa nani kakwambia ujibu si ungepita tu tu!!
Hapa JF hulazimishwi sona Privacy Policy
Pili hujui kwanini nilimjibu
huyo
hapa hakuna Mjuaji km una biashara weka lakini majibu yako ndio yatatufanya tukukosoe tena bila matusi licha ya mimi kajibiwa na wengi tu kuwa gari hizo zipo kwa bei ya chini,
JF kwenye Desktop wametangaza magari USED ya Kijapani unashindwa nini kuwaambia wenzako wa BOFYE mnakuja na uongo wa kale eti ni mipasho
Miaka hii magari sio biashara ya kuwadanganya watu tena labda mje na Biashara ya Matusi ndio mtauza.

kaka wewe ni division five ya mwaka jana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom