Nauza madini haya (Rubi gemstone na Alexander lite)

Nauza madini haya (Rubi gemstone na Alexander lite)

twinyt d

New Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
4
Reaction score
2
Habari nauza madini yafuatayo.
1575263161275.png

Hii ni rubi gemstone gram 2 ya winza bei 150,000,000/=

1575263245691.png

Hii ni Alexander lite (change color) gram 23 ya winza 600,000,000/=

Napatikana mkoa wa Singida, kwa mawasiliano nipigie namba 0687808357
au nitate PM.

Karibuni wateja wote mnakaribishwa kuja kuona bidhaa.
 
Ina maana maduka ya kununua vito huyajui au, je soko la madini hulijui? Au unataka kumtapeli mtu?
 
Kuna mtu atatapeliwa hapa au muuzaji kukamatwa kwa kuficha madini ndani. Ila ki ukwel mtu mwenye hayo madini aje kutafuta wateja jf?
 
Ruby inamatumizi mengi sana, na mimi ni mchimbaji mdogo wa madini.

Ukija katika uhalisia wa bei ni tofauti na ninavyo uza mimi.

Cha msingi uwe na kibali cha kununulia madini maana mimi nina kibali halali cha uchimbaji mdogo..
 
Haipungui
Huwezi ukauza madini Aina hyo kwa style hiii humu jf kwanza hakuna wanunuzi humu wala hakuna mnunuz mthai au msrilanka akatayeingia humu na kuona bidhaa hyo
Swali? Hiyo ruby ya kutoka wapi
Kama uko mkoani njoo dar mtafute somebody prayun ni mthai yuko nyuma ya best bite
Hyo ndy anauwezo wa kuvunja code ya biashara hyo.....
Angalizo tu
Ruby iwe ya Kweli
Na Taratibu zote zitafuatwa

Ova
 
Kuna mtu atatapeliwa hapa au muuzaji kukamatwa kwa kuficha madini ndani. Ila ki ukwel mtu mwenye hayo madini aje kutafuta wateja jf?
Hakuna biashara kama hyo
Ndomana nme mpa code akapambane mwenyewe
Ila sijawahi skia mtu anauza madini ya thamani kwenye mtandao humu sana sana tunapeana idea na connection

Ova
 
Hakuna biashara kama hyo
Ndomana nme mpa code akapambane mwenyewe
Ila sijawahi skia mtu anauza madini ya thamani kwenye mtandao humu sana sana tunapeana idea na connection

Ova
Biashara yeyote kutangaza ni muhimu na kutolewa ushauri maoni na nk ndo mwazo wa kuweza kujua masoko ya Madini usipo tangaza, utamuuzia nani na wapi? Ndo maana ikawepo mitandao kama hivi kwa ajili ya kupanua wigo wa uelewa wa mambo mbalimbali. Kwahiyo kwa anaye jua zaidi Madini na sharia zake atasema kwa asiye elewa ataishia kushangaa. Haya yakwangu ninayauza kwa vibali vya Madini na mnunuzi nae atanunua kwa vibali vya Madini na si vingimevyo.
 
Sawa mwamba....
Ruby ya wapi hiyo

Back
Top Bottom