Nauza Lamborghin Gullardo

Kaka hii ulikuwa unaendeshea barabara zipi?.....Daaa, nilkuwa sijasoma bei, ni 1.9Billion pesa ya Tanzania? bei ya kununua hii kitu mbona ni around 200,000USD ikiwa mbele, ukijumlisha nauli na kodi sidhani kama itafika M900!!! Hata hivyo kama kweli unalo hili JINI ANASA hapo kwako kwa ajili ya kutembelea tu nakuamkia SHKAMOOO!
 
Nlikutembelea tuu, mm nilinunua 1,100,000
 
Namba zake ni T....ARY alafu iwe ni model ya 2009 dah Sijui. Alafu wewe uliingiza mwaka gani?
 
Namba zake ni T....ARY alafu iwe ni model ya 2009 dah Sijui. Alafu wewe uliingiza mwaka gani?
wewe usiniulize maswali ambayo hayana maana, njoo ulione ukiridhika uondoke nalo hapa cwezi kuweka data zake zote
 
Too high strung and too low slung of our roads!!! .... not to mention the high risk of the uninsured TZNs smashing into it when brakes fail ......
 
mmh,mzee ile biashara yetu ya kilo mbili vp mbona ulilamba chochoro?
Hamna biashara hapa wakuu twendeni sredi zingine
 
Too high strung and too low slung of our roads!!! .... not to mention the high risk of the uninsured TZNs smashing into it when brakes fail ......

Hili mimi nlikuwa na drve barabara ya masaki and mikocheni only now na2mia hummer h3 popote
 
Bei ya mwisho kabisa ? Hapo umeua sana. Niliiona arusha january sijui ndio yenyewe ?
 
Kama unataka kununua njoo ulione kama cyo gullardo
Bwana mi nasoma mwaka wa 5 sasa kwenye Ferrari high school ya modena(italy) na kiwanda cha lamborghini hakiko mbali sana na mwaka jana nimefanya field pale na tunasoma kuhusu haya super car, hio sio gallardo sababu gallardo ya mwaka 2009 haina exhaust moja kati kati maximum hio inaweza kua lamborghini murcelago lakini sio gallardo. Halafu lamborghini hana model inayoitwa "gullardo", anatengeneza model kama gallardo, murcelago, diablo, miura, reventon, aventador, urraco. Hio inaweza kua ya kichina. Nenda kaangalie kwenye google na angalia picha za model ya lamborghini gallardo.
 
Acha masikhara wewe, hiyo bei ya Mchina nini?
Mbona zipo nyingi tu tena brand new bei haizidi hata $400000,
 
Hili mimi nlikuwa na drve barabara ya masaki and mikocheni only now na2mia hummer h3 popote

Mkuu mtu mwenye mambo kama hayo hawezi kabisa kuja kupiga kelele humu JF,ila shukran unatupa changamoto wote,sisi na wewe kwamba iweje watu wengine(sio wewe) wamiliki mikoko kama hyo? Mkuu na uhakika asimila 5000 hauna Hummer,lamboghin wala hata collora ya 1992!!! Kama unabisha nita-upload
details za huyo mwenye gari

T 526 ARY
 
Back
Top Bottom