We mtoto lini utakua? Hiyo namba T....ARY ni ya mwaka 2007, sasa gari ya 2009 imeipataje hiyo namba?
Halafu wadanganye tusiokuijua. Emil unasoma CBE, na kazi yako ya kuuza simu humu, unanunua blackberries kwa bei chee kisha unaziuza kwa bei ya juu kuidogo, kama unabisha au kuna mtu anabisha fungueni jina lake msome post zake... Kuna blackberry 9700 nilikuuzia pale mlimani city kwa laki2 na themanini, ukaja na post humu unaiuza laki nne kamili, na mbwembwe nyiiingi eti umetoka nayo UK uliinunua kwenye kampuni ya three, wakati hayo maelezo nilikupa mimi wakati nakuuzia..
Hii ni forum ya watu na akili zao, wengine wanaweza kuwa wazazi wako...
Grow up na uache hype zako za kishule shule...
Kwa utaalamu wangu wa adobe, naweza kuedit picha yeyote ile ikaonekana ni real na wasiojua wakaamini. Lakini, who am I fooling!!! MY SELF...WORDS TO YOU MDOGO WANGU. Usipobadilika sasa hii tabia itakucoist sana maishani...
Ungebadili kwanza I'd basi ili iwe ngumu kukutrack... We unakaa mbezi analogue halaf unawadanganya watu hapa unaendesha lamboghini...wakati unakuja kununua bb 9700 bold ulikuja na 5 5...