Nauza kuku wa nyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza kuku wa nyama

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mchakachuaji192, Jan 3, 2012.

 1. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wadau kama kuna mtu au hoteli inahitaji kuku wa nyama tuwasiliane ninao kuku 600, wapo dar, kwa maelezo zaidi nicheki kwa namba +255655393035
   
 2. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  MWENYEZI MUNGU akusaidie upate wateja haraka iwezekanavyo.pia weka uzito wa kuku pamoja na bei..
   
 3. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Amen, bei ya kuku ni shilingi 4500
   
 4. n

  namwangala New Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  4500 kwa uzito gani?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu mtu anaweza kununua hata m1 kwa ajili ya nyama choma au ni kwa hotel? Weka kilo hili nikutafutie soko kubwa,kuku wanyama ndo hao weupe wanaofugwa kwenye mabanda na mataataaa
   
 6. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  mchakachuaji192 mkuu mimi naogopa jina lako hili, naogopa kuchakachuliwa. kuna msemo wa kihaya unasema "eibara lita nyinalyo" ukiwa una maanisha "jina linaweza kumharibia mwenye nalo"
   
 7. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wana kilo moja kwa sasa wiki ijayo ndio natarajia kuwauza maana watakuwa wametimiza wiki sita
   
 8. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  King Kong mmoja naweza kuuza bt si kwa bei hiyo cozi hiyoni bei ya jumla
   
 9. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mkubwa kuna vitu vya kuchakachua mwenzangu sio kila kitu ni uchakachuaji tu, have faith on me
   
Loading...