Gari ina mahips hiyo! Balaa.
Unauza "Presha" hakuna wa kununua humu.
Mimi nadhani yuko sahihi hasa nikiangalia aina ya barabara tulizonazo. Labda tu mmiliki awe anaishi kando ya barabara ya lami tu. Kinyume na hapo sijui hata kama vipuri vyake vinapatikana kwa urahisi TZ.Safari_ni_Safari si useme huna hela tu tukuelewe.............
Duuuh...7993CC ikikohoa mara moja tu kwa hizi gari zetu za kijapani inabidi umuache aende tu usijepasua injini bure.Kanajitahidi,kana 7993cc.
Basi,naona hakuna mteja,sio mbaya...katakuwa kanamsogeza wife kazini kwake sio mbaya!
mimi nadhani yuko sahihi hasa nikiangalia aina ya barabara tulizonazo. Labda tu mmiliki awe anaishi kando ya barabara ya lami tu. Kinyume na hapo sijui hata kama vipuri vyake vinapatikana kwa urahisi tz.
Kama kawaida yako Malkia wangu.nilikuwa namtania my king........sikuwa serious hata............
Mimi silitaki....eksozi yake kama ya binadamu bana!
Hii gari ya mapambo ya kutembelea kwenye lami tu!!barabara zetu za tz ikinyesha mvua kwishnei na yale madimbwi ya maji si inazama kabisa hio na sijui ikiharibika gharama zake kiasi gani kutengeneza bora,itakuwa kheri ununue mpya au uwe na PAJERO au LANDCRUISER tu linakata mbuga zote!!
haina hata paa siitaki nipigwe na jua au ninyeshewe na mvua :nono:Wewe nimekununulia hii vp umeipenda?
haina hata paa siitaki nipigwe na jua au ninyeshewe na mvua :nono: