Nauza haka kagari,nataka kununua kengine!

Nauza haka kagari,nataka kununua kengine!

Attachments

  • 1380727668673.jpg
    1380727668673.jpg
    30.1 KB · Views: 103
ah... inapita barabara zetu zenye matuta na mabonde ...?
 
Hongera mkuu. Hii mimi inanitosha. Toyota Corolla ya mwaka 1989.

132578d1223935618-toyota-corolla-1989-s3020034.jpg
 
View attachment 114764
Hii gari nimeichoka,nataka nyingine!
Jaguar, nilitaka kumnunulia my waifu wangu nimemuonyesha kasema ipo chini sana kama vitz na kasema hapa kwetu uswazi kuna panya wengi hivyo kwa jinsi alivyo bahili wa mafuta na cc za hiyo gari, litakua lime simama muda wote na hilo tundu lilivyo kubwa hapo nyumani, panya wataingia na kuzaana! ameshauri umtafute balotel umuuzie!
 
Ukiwa kwenye kagari hako, si jamaa wa scania anakutemea tu mate hapo chini eeee,,!
Akitema hayo mate mkiwa ubungo,mpaka yafike chini wewe upo kimara mwisho!
 
Back
Top Bottom