Nauza haka kagari,nataka kununua kengine!

Nauza haka kagari,nataka kununua kengine!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,034
buggati veyron.jpeg
Hii gari nimeichoka,nataka nyingine!
 
Ningekanunua lakini hakafai kwendea home Mbezi? Mchwa hali chupa mkuu
 
Kwanza hela hamna, hata ingekuwepo hayo mashimo yaliyopo barabarani kwetu ikinyesha mvua sina uhakika kama gari itaonekana kwenye madimbwi...
 
Sasa na hii extended family yangu,mbona kadogo sana,ingekuwa 4*4 ningenunua
 
Unauza picha ya gari unataka kununua ingine? Au nimeekewa vibaya?
 
Basi,naona hakuna mteja,sio mbaya...katakuwa kanamsogeza wife kazini kwake sio mbaya!
 
Back
Top Bottom