Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,045
- 13,483
Betri imeisha kabisa ukiichagi inaonesha alama x kwenye ile alama ya betri,sensor imestuck na housing imechoka sana. Ukimeo wake ni huo tu. Unaweza kuitengeneza na kuitumia vizuri tu. Haya nipeni bei ,kama mnadani vile unataja bei mwenyewe.