Nauona ushindi wa Taifa Stars hapo kesho lakini Kamati ya Ushindi ina ukakasi. Kesho tunaandika historia mpya!

Binafsi huwa sina imani sana na Taifa stars, na huyu Amunike ndo simuelewi kabisa. Bado nafkiria mara mbili mbili kuhusu kwenda taifa leo

the Legend☆
Upo kama mimi, toka juzi, jana mpaka muda huu najifikiria ila moyo unakataa kunipa jibu la kwenda!

Sinaga imani na taifa starz!

wakati ukuta.
 
Huu mchezo ushafanywa mazungumzo na ndg zetu waganda, wameamua kutuachia ushindi,... Ndio maana akina makonda wanajifanya kama vile wanapambana ili waonekane wao wamefanikisha hilo (kisiasa)... Kwahiyo matokeo ya upande wa pili labda ndo yatazuia nafasi ya kusonga mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan Watanzania pia tumekua nyuma hatuna moyo was kujitolea tunawasubiri wanasiasa.
Wachezaji was zamani wangejitokeza pamoja na watu maarufu kuiunga mkono ingekua poa.
Makonda sio mdau makubwa wa soka kwa hiyo ilitakiwa spate support kutoka kwa wajuzi was haya mambo.
Licha ya hayo mapungufu tumeonesha uthubutu.
Ningekua Dar ningetoa full support.
Si unajua wanasiasa wa bongo wanajifanya wanajua kila kitu,
Nimemsikia mmoja akisema lazima tushinde mbele ya Raisi wetu chuma cha reli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Staz 2
Cranes 1

tukija kule cape Verde 1
Lesotho 0
au inaweza kuwa draw
Mwisho wa Kundi
Cranes na Staz watakuwa wamefuzu.

mwisho kabisa
Tz
Ug
Kny
Burund
zitakuwa zimeungana kwenda kushiriki


Sababu za Staz kushinda Ni sababu za ki Diplomasia
lakini sababu za ufundi HAKUNA NA HAWAWEZI

Sent using Jamii Forums mobile app
Waganda wakitubania kwa kutaka sifa ya unbeaten record kwenye qualifying tutakata lile bomba la mafuta la Hoima lisipeleke mafuta Uganda... Tutamsaidia kagame kumchapa na tutamtoa madarakani Museven. Kwanza Rais wao kasoma bure pale UDSM kwa jasho lwru Watanzania.
Waganda msituchezee kabsaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hesabu haziongopi
IMG-20190323-WA0022.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waganda wakitubania kwa kutaka sifa ya unbeaten record kwenye qualifying tutakata lile bomba la mafuta la Hoima lisipeleke mafuta Uganda... Tutamsaidia kagame kumchapa na tutamtoa madarakani Museven. Kwanza Rais wao kasoma bure pale UDSM kwa jasho lwru Watanzania.
Waganda msituchezee kabsaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kateni watapitishia Kenya kenge wakubwa nyie kwani mlitumwa mumsomeshe huyo dikteta kwa ujinga wenu na umbumbumbu wa viongozi wenu
 
Mkuu,naomba uniheshimu kama ninavyokuheshimu. Ungeweza kujadili mada bila kutweza tasnia au kazi yangu. Tumia hekima kuliko jazba na chuki

Tasnia ya sheria ni tasnia adhimu sana, mwanasheria anapoandika juu ya jambo lolote, jamii inategemea kusoma maneno ya busara, hekima,weledi na kweli.

Tofauti na hapo jamii ndio iliyotengeneza jina la kanjanja kwa mwanasheria husika.

Hivyo hakuna issue personal ktk maelezo yangu,heshimu tasnia yako.
 
Back
Top Bottom