abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,422
- 2,301
Mwisho wa ccm utamalizwa na nguvu ya umaMwisho wa CCM utamalizwa na katiba mpya na tume huru pekee mkuu! Vinginevyo haya manyang'au yatazidi kutuminya..
Issue ni kwamba inatusaidia nini kuanza kumsuta mtu aliyekufa? mtu ameshakufa wewe unasema ni halali kumsema anapokosea sasa mtu aliyekufa anakosea au kupatia nini?Kusemwa halali yake pale alipokosea mbona yeye aliposhika madaraka aliwasema watangulizi wake? Na kinachosababisha asemwe sana alijiona kuwa yeye malaika hawezi kukosea na wapambe wake wakamsifu kwa nyimbo na mapambio pale akipobinya Uhuru wa kuongea
Najua wewe hufikirii hilo kwako unachotaka ni kuona tu ccm ikitoka madarakani utaona umeikomoa basi hufikirii baada ya hapo inakuaje.Ndio maana nasema eidha wewe unaongea kishabiki au tatizo IQ hafifu
CCM itajitoa yenyewe madarakani,CCM limekuwa genge la Wahuni sisi tumekipigania Chama kwa miongo mingiNajua wewe hufikirii hilo kwako unachotaka ni kuona tu ccm ikitoka madarakani utaona umeikomoa basi hufikirii baada ya hapo inakuaje.
Kwa haya yanayofanywa na CCM waelewe tu sisi wananchi sio wajinga tuliyaona waliyoyafanya tukayaona aliyoyafanya meko na tunaona wanayoyafanya sasa waelewe sisi Watanzania sasa sio wajinga tena tuna akili na tunauelewa mkubwa sana tukutane 2025.
Miradi mingi tunaomba hela nje.. Kodi wanatumbua wajanja.. Hamna legacy yoyote inaachwa...Kama haya yooote yalitokea yet tukajenga miradi ya trillions then undeestand the guy is smart!
Hata mfanye vipi hamwezi kuondoa legacy yake
Tunasema ili kuweka kumbukumbu sawa na ijulikane nini alipatia na nini alikosea ili huyu au aje asifanye makosa kama ya mwendazake na vilevile ni kumbukumbu kwa waliopo sasa na vizazi vijavyo jinsi watawala wetu walivyokuwa wanaongoza NchiIssue ni kwamba inatusaidia nini kuanza kumsuta mtu aliyekufa? mtu ameshakufa wewe unasema ni halali kumsema anapokosea sasa mtu aliyekufa anakosea au kupatia nini?
Mwisho ccm ni katiba mpya na katiba mpya haitopatikana kwa maneno ya amani sasa tafakarKwa haya yanayofanywa na CCM waelewe tu sisi wananchi sio wajinga tuliyaona waliyoyafanya tukayaona aliyoyafanya meko na tunaona wanayoyafanya sasa waelewe sisi Watanzania sasa sio wajinga tena tuna akili na tunauelewa mkubwa sana tukutane 2025.
wahuni nyie,tawala zilizopita pesa hazikuibiwa hata hivyo Hakuna kikubwa kilichofanywa kulinganisha na kipindi cha mwenda zake.kwanini Leo maneno ni mengi Sana au ni ile vita imehamia hapa.Mtu yule ametia aibu kwa kweli!
Tatizo badala ya kudeal na mzizi wa tatizo ambapo ndio sababu ya hawa viongozi kuweza kufanya hayo madudu badala yake mnasubiri wafanye madudu ndio mje kuwasuta humu.Tunasema ili kuweka kumbukumbu sawa na ijulikane nini alipatia na nini alikosea ili huyu au aje asifanye makosa kama ya mwendazake na vilevile ni kumbukumbu kwa waliopo sasa na vizazi vijavyo jinsi watawala wetu walivyokuwa wanaongoza Nchi
Bila katiba mpya wananchi tususie chaguzi zijazo mpaka maombi yetu yakubaliwe!
Sasa CCM itoke madarakam alafu chama gani kiingie sasa [emoji15][emoji15]Sijaona chama cha upinzani ambacho kipo tayari kuongoza Tanzania kwa maslah ya wa Tanzania [emoji419] Viongozi bora watatoka CCM tu siku zote, Usiku mwemaNikiwa ni miongozi mwa watu ambao hawaipendi CCM kutokana kushindwa kuivusha Tanzania licha ya kuwa na mali asili aina zote...
You have a very narrow spectrum about politics.Sasa CCM itoke madarakam alafu chama gani kiingie sasa [emoji15][emoji15]Sijaona chama cha upinzani ambacho kipo tayari kuongoza Tanzania kwa maslah ya wa Tanzania [emoji419] Viongozi bora watatoka CCM tu siku zote, Usiku mwema