Naungana na Lyatonga Mrema kukomesha mauaji ya Rufiji na Kibiti

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,363
2,000
Katika Gazeti la Mwananchi la leo amenukuliwa Mhe. Lyatonga Mrema aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu WM enzi za Utawala wa Mzee Mwinyi. Kwamba Serikali lazima iwe na mbinu mbdala za kukabiliana na hawa wauaji ikiwemo kuwekeza kwenye Intelijensia kwa kupeleka na kupandikiza watu katika maeneo hayo ili kumbaini huyu adui ni nani. Nimeipenda sana hoja hii.

Nakumbuka enzi za Baba wa Taifa Mwl.Nyerere(RIP).Tanzania ilikuwa inasifika sana kimataifa kwa Intelijensia na ilisemekana kuwa ilikuwa ni nchi ya 3 au 4 baada ya MOSSAD ya Israel, CIA&FBI za Marekani na KGB ya Urusi(enzi hizo). Ilikuwa ni vigumu sana kwa adui kupenyeza chochote kwenye anga la Tazania bila ya kubainika. Baba wa Taifa alijua kuwekeza kwenye Intelijensia ya Usalama wa Taifa. Enzi hizo Usalama wa Taifa au Mashushu ilikuwa ni Usalama hasa na siyo kamai. Ilikuwa ni vigumu sana kumjua nani ni TISS,nani shushu na kuna watu walikuwa wanapandikizwa kwene Vijiji, Majiji,Mashuleni,Vyuoni, Mashirika ya Umma wakiishi kama wanakijiji, wakisoma kama wanafunzi au wakifanya kazi kama Wafanyakazi lakini wako kazini 24 hours na usingeweza kuwatambua!!

Ungelikuta mtu ni kichaa kabisa anaokota makopo na uchafu wa kila aina jalalani karibu na shule,mji au kijiji kumbe ana kazi maalumu. Usiku mkienda kulala yeye anabadilika toka kuwa kichaa na kuanza kazi ya kupeleka taarifa za uhakika na baada ya kitambo utasikia kimenuka!!!

Hilo jambo kwa sasa halipo. Tanzania kwa sasa hatuna TISS ya enzi hizo.Tatizo la sasa ni kwamba baada ya Tanzania kuingia kwenye mfumo wa Vyama vingi,vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama kwa maana ya Jeshi,Polisi na Usalama wa Taifa wamegeuka kuwa ni Mashushu wa KUFUATILIA VYAMA VYA UPINZANI NA VIONGOZI WAKE kuwa vinafanya nini saa ngapi na wapi!!! Yaani Wapinzani kwa Tanzania ndio wamegeuzwa kuwa maaadui nambari moja wa Serikali. Huu ni udhaifu mkubwa sana ambao ndiyo unaligharimu Taifa. Badala ya vyombo vya ulinzi na Usalama ku-concetrate na tatizo la mauaji ya kumtafuta muuaji huko Kibiti na Rufiji wao wako busy kukamata Viongozi wa Upinzani na kuwapeleka Polisi na Mahakamani au kuwapoteza kabisa kama BEN SAANANE, this absolutely non-sense. Yumkini hata hawa jamaa wanaofanya haya mauaji huko mkoa wa Pwani wanajua udhaifu wa Serikali ya CCM!!!

Bila kubadili mbinu na kufuata ushauri wa Mrema na raia wema, Rais Magufuli atabadilisha sana ma IGP na ma RPC na mauaji yataendelea tu.Hii ni aibu kwa Serikali ya CCM ni aibu kwa nchi lakini pia ni aibu kwa Rais Magufuli ambaye ni mlinzi nambari 1 wa raia wote Mpaka sasa ni jumla ya watu 48 wamepoteza maisha(Raia 35 na Askari 13). This is very shameful!!

Nawasilisha.
 
GITWA

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
909
1,000
Hoja yako au ya Lyatonga ni nzuri ila nasikitika wamechelewa. Maana wauaji wamesha cover eneo zima wanalofanyia kazi zao za mauaji. Hivyo mtu yeyote mgeni akiingia wanapata taarifa na shushushu atakuwa wa kwanza kufa kabla hajawatambua.
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,589
2,000
Huamini kama mpk leo hao jamaa wa usalama bado wana uwezo wa kukaa ofisini au sehemu yoyote na usimjue.

Mfano rahisi kabisa,Mkurugenzi wa Tiss wa sasa alikua Mkurugenzi msaidizi wa NIDA ghafla akateuliwa na Magu kua Boss wa Tiss unajua kilichofuatia mtu wa kwanza kuwekwa ndani/kusomeshwa No. alikua ni Mkurugenzi mkuu wa NIDA ndg.Dickson na ambae daily walikua wote wanafanya kazi hapo NIDA kama mtu na boss wake lkn hakujua jamaa ni Tiss kitambo tu.

So usidhani hao jamaa hawapandikizi watu huko maofisini,mitaani,mashuleni kokote pale wapo na wataendelea kuwepo mpk mwisho wa dunia.
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,363
2,000
Tatizo Mrema hana mvuto tena kwa kauli zake

mzee74,
Umejitambulisha kwa jina la mzee na siku zote tunasema UZEE NI DAWA. Hebu ongea kama mzee mwenye busara, kwamba linapokuja swala linatlotuhusu kama Taifa achana na kuangalia nani kasema nini, angalia UZITO WA HOJA NA NAMNA ITAKAVYO LISAIDIA TAIFA KUSONGA MBELE. Upuuzi huuhuuu wa kuona hoja ni nzuri lakini ya mpinzani inatupwa ndiyoleo imetufikisha kwenye MAKINIKIA!! Watz tubadilike.
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,980
2,000
Mimi sidhani kama wauaji wanaogopa kujulikana.
Labda wanatafuta namba inayotosha kumuita katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Tanzania.
Sijui ni mamia mangapi ya wafu ila kuna mamia yanayojustify nauli ya katibu mkuu wa umoja wa Mataifa kwenda mahali kusulihisha jambo.
Kenya sikumbuki walikufa mamia mangapi ila baada ya namba kufika Kibaki alikubali kukaa.
Am just thinking loud
 
Getang'wan

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
2,501
2,000
Katika Gazeti la Mwananchi la leo amenukuliwa Mhe. Lyatonga Mrema aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu WM enzi za Utawala wa Mzee Mwinyi. Kwamba Serikali lazima iwe na mbinu mbdala za kukabiliana na hawa wauaji ikiwemo kuwekeza kwenye Intelijensia kwa kupeleka na kupandikiza watu katika maeneo hayo ili kumbaini huyu adui ni nani. Nimeipenda sana hoja hii.

Nakumbuka enzi za Baba wa Taifa Mwl.Nyerere(RIP).Tanzania ilikuwa inasifika sana kimataifa kwa Intelijensia na ilisemekana kuwa ilikuwa ni nchi ya 3 au 4 baada ya MOSSAD ya Israel, CIA&FBI za Marekani na KGB ya Urusi(enzi hizo). Ilikuwa ni vigumu sana kwa adui kupenyeza chochote kwenye anga la Tazania bila ya kubainika. Baba wa Taifa alijua kuwekeza kwenye Intelijensia ya Usalama wa Taifa. Enzi hizo Usalama wa Taifa au Mashushu ilikuwa ni Usalama hasa na siyo kamai. Ilikuwa ni vigumu sana kumjua nani ni TISS,nani shushu na kuna watu walikuwa wanapandikizwa kwene Vijiji, Majiji,Mashuleni,Vyuoni, Mashirika ya Umma wakiishi kama wanakijiji, wakisoma kama wanafunzi au wakifanya kazi kama Wafanyakazi lakini wako kazini 24 hours na usingeweza kuwatambua!!

Ungelikuta mtu ni kichaa kabisa anaokota makopo na uchafu wa kila aina jalalani karibu na shule,mji au kijiji kumbe ana kazi maalumu. Usiku mkienda kulala yeye anabadilika toka kuwa kichaa na kuanza kazi ya kupeleka taarifa za uhakika na baada ya kitambo utasikia kimenuka!!!

Hilo jambo kwa sasa halipo. Tanzania kwa sasa hatuna TISS ya enzi hizo.Tatizo la sasa ni kwamba baada ya Tanzania kuingia kwenye mfumo wa Vyama vingi,vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama kwa maana ya Jeshi,Polisi na Usalama wa Taifa wamegeuka kuwa ni Mashushu wa KUFUATILIA VYAMA VYA UPINZANI NA VIONGOZI WAKE kuwa vinafanya nini saa ngapi na wapi!!! Yaani Wapinzani kwa Tanzania ndio wamegeuzwa kuwa maaadui nambari moja wa Serikali. Huu ni udhaifu mkubwa sana ambao ndiyo unaligharimu Taifa. Badala ya vyombo vya ulinzi na Usalama ku-concetrate na tatizo la mauaji ya kumtafuta muuaji huko Kibiti na Rufiji wao wako busy kukamata Viongozi wa Upinzani na kuwapeleka Polisi na Mahakamani au kuwapoteza kabisa kama BEN SAANANE, this absolutely non-sense. Yumkini hata hawa jamaa wanaofanya haya mauaji huko mkoa wa Pwani wanajua udhaifu wa Serikali ya CCM!!!

Bila kubadili mbinu na kufuata ushauri wa Mrema na raia wema, Rais Magufuli atabadilisha sana ma IGP na ma RPC na mauaji yataendelea tu.Hii ni aibu kwa Serikali ya CCM ni aibu kwa nchi lakini pia ni aibu kwa Rais Magufuli ambaye ni mlinzi nambari 1 wa raia wote Mpaka sasa ni jumla ya watu 48 wamepoteza maisha(Raia 35 na Askari 13). This is very shameful!!

Nawasilisha.
Enzi hizo intelijensia ilikuwa ya kitaifa kwa ujenzi na usalama wa nchi. Sasa hivi ni ya chama. Na wamejaa wanafiki na wachumia tumbo tu sasa nao wanapigania matumbo yao.
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,363
2,000
Huamini kama mpk leo hao jamaa wa usalama bado wana uwezo wa kukaa ofisini au sehemu yoyote na usimjue.

Mfano rahisi kabisa,Mkurugenzi wa Tiss wa sasa alikua Mkurugenzi msaidizi wa NIDA ghafla akateuliwa na Magu kua Boss wa Tiss unajua kilichofuatia mtu wa kwanza kuwekwa ndani/kusomeshwa No. alikua ni Mkurugenzi mkuu wa NIDA ndg.Dickson na ambae daily walikua wote wanafanya kazi hapo NIDA kama mtu na boss wake lkn hakujua jamaa ni Tiss kitambo tu.

So usidhani hao jamaa hawapandikizi watu huko maofisini,mitaani,mashuleni kokote pale wapo na wataendelea kuwepo mpk mwisho wa dunia.

mng'ato,
I can't buy that cheap. Huwezi kunishawishi kwa hilo. Kuna mambo mengine is just a mere coincidence wala haina uhusiano wowote na TISS!! Unajua uhusiano wa JPM na huyo alikuwa msaidizi wa NIDA? Vp kama alipeleka majungu na kumchongea mkuu wake ili achukue hiyo nafasi? Hayo yako sana kwenye ofisi zetu za kibongo. Kama wewe una amini hilo tuonyeshe basi waliopandikizwa huko Kibiti na Rufiji na tija iko wapi??Nina kitu kimoja, huwa sipendi kutetea ujinga. Over n' Out!
 
God Heals

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
699
1,000
Kuna utofauti mkubwa kati ya intelijensia ya utaifa, na intelijensia ya chama.

Wakibadilika, wakaacha kufanya kazi kwa maagizo kutoka juu, kwa kumfurahisha mkuu, wanaweza wakafanikiwa ingawa nachelea kusema wapo nyuma ya mda kwa sasa.

Sasa hivi pale hata ukienda kugema mnazi, kesho usipotumiwa taarifa kwamba umekuja kutupeleleza sasa jiandae; basi utatekwa jumla.
 
Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
2,685
2,000
Katika Gazeti la Mwananchi la leo amenukuliwa Mhe. Lyatonga Mrema aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu WM enzi za Utawala wa Mzee Mwinyi. Kwamba Serikali lazima iwe na mbinu mbdala za kukabiliana na hawa wauaji ikiwemo kuwekeza kwenye Intelijensia kwa kupeleka na kupandikiza watu katika maeneo hayo ili kumbaini huyu adui ni nani. Nimeipenda sana hoja hii.

Nakumbuka enzi za Baba wa Taifa Mwl.Nyerere(RIP).Tanzania ilikuwa inasifika sana kimataifa kwa Intelijensia na ilisemekana kuwa ilikuwa ni nchi ya 3 au 4 baada ya MOSSAD ya Israel, CIA&FBI za Marekani na KGB ya Urusi(enzi hizo). Ilikuwa ni vigumu sana kwa adui kupenyeza chochote kwenye anga la Tazania bila ya kubainika. Baba wa Taifa alijua kuwekeza kwenye Intelijensia ya Usalama wa Taifa. Enzi hizo Usalama wa Taifa au Mashushu ilikuwa ni Usalama hasa na siyo kamai. Ilikuwa ni vigumu sana kumjua nani ni TISS,nani shushu na kuna watu walikuwa wanapandikizwa kwene Vijiji, Majiji,Mashuleni,Vyuoni, Mashirika ya Umma wakiishi kama wanakijiji, wakisoma kama wanafunzi au wakifanya kazi kama Wafanyakazi lakini wako kazini 24 hours na usingeweza kuwatambua!!

Ungelikuta mtu ni kichaa kabisa anaokota makopo na uchafu wa kila aina jalalani karibu na shule,mji au kijiji kumbe ana kazi maalumu. Usiku mkienda kulala yeye anabadilika toka kuwa kichaa na kuanza kazi ya kupeleka taarifa za uhakika na baada ya kitambo utasikia kimenuka!!!

Hilo jambo kwa sasa halipo. Tanzania kwa sasa hatuna TISS ya enzi hizo.Tatizo la sasa ni kwamba baada ya Tanzania kuingia kwenye mfumo wa Vyama vingi,vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama kwa maana ya Jeshi,Polisi na Usalama wa Taifa wamegeuka kuwa ni Mashushu wa KUFUATILIA VYAMA VYA UPINZANI NA VIONGOZI WAKE kuwa vinafanya nini saa ngapi na wapi!!! Yaani Wapinzani kwa Tanzania ndio wamegeuzwa kuwa maaadui nambari moja wa Serikali. Huu ni udhaifu mkubwa sana ambao ndiyo unaligharimu Taifa. Badala ya vyombo vya ulinzi na Usalama ku-concetrate na tatizo la mauaji ya kumtafuta muuaji huko Kibiti na Rufiji wao wako busy kukamata Viongozi wa Upinzani na kuwapeleka Polisi na Mahakamani au kuwapoteza kabisa kama BEN SAANANE, this absolutely non-sense. Yumkini hata hawa jamaa wanaofanya haya mauaji huko mkoa wa Pwani wanajua udhaifu wa Serikali ya CCM!!!

Bila kubadili mbinu na kufuata ushauri wa Mrema na raia wema, Rais Magufuli atabadilisha sana ma IGP na ma RPC na mauaji yataendelea tu.Hii ni aibu kwa Serikali ya CCM ni aibu kwa nchi lakini pia ni aibu kwa Rais Magufuli ambaye ni mlinzi nambari 1 wa raia wote Mpaka sasa ni jumla ya watu 48 wamepoteza maisha(Raia 35 na Askari 13). This is very shameful!!

Nawasilisha.
  • Naunga mkono mawazo ya Mrema tu, Ila siyo hiyo nyongeza yako ya mwishoni
  • Yani nchi iwekeza pia kwenye Intelijensia
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
8,698
2,000
Hoja yako au ya Lyatonga ni nzuri ila nasikitika wamechelewa. Maana wauaji wamesha cover eneo zima wanalofanyia kazi zao za mauaji. Hivyo mtu yeyote mgeni akiingia wanapata taarifa na shushushu atakuwa wa kwanza kufa kabla hajawatambua.
Hatari kubwa.
 
mgoloko

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
4,720

Mkuu tunashukuru kwa ushauri wako ila mrema asingezungumza hadharani maoni aliyotoa. Kifupi Idara ya usalama wa Taifa ilishajifia mwishoni mwa enzi ya mzee Ruksa na sasa ndiyo imeoza kabisa na imegeuka kuwa mfumo wa kulinda na kupambana na wote wenye mawazo tofauti na utawala uliopo madarakani. Zamani walioajiriwa na Taasisi hii walikuwa na uzalendo wa kulinda Taifa lao mfano hai kulikuwa na "chizi" maarufu Malaika alikuwa anabeba magazeti tu kuanzia gazeti ka mfanyakazi, shaba nk.lakini alipofariki ndipo ilipojulikana ni mtumishi wa TISS. Angalieni sasa hivi watoto wa line ndiyo wapo humo na kusabbsha ulinzi wa Magu mwenyewew kuwa dhaifu mno
 
cai

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
1,352
2,000
Hoja yako au ya Lyatonga ni nzuri ila nasikitika wamechelewa. Maana wauaji wamesha cover eneo zima wanalofanyia kazi zao za mauaji. Hivyo mtu yeyote mgeni akiingia wanapata taarifa na shushushu atakuwa wa kwanza kufa kabla hajawatambua.
Narudia tena too late, walitakiwa wafanye hivo tangia tukio la kwanza linatokea, kama kawaida ya serikali ya kutojali mambo, kuwaona wanaouawa walistahili kuuawa, kushughulikia mambo kisiasa badala ya kitaalam, wameacha hadi hali imekuwa Kama ilivo.

Kwa nchi za wenzetu raia mmoja tu akifa kwa kifo kisichokuwa cha kawaida, hatua inaanza kuchukuliwa hapo, ikibidi hata sheria/Sera inaweza kubadilishwa kwa kifo cha raia mmoja tu. Hapa tunashuhudia akina mwigulu wanatoa matamko Kama makatibu mwenezi wa chama
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
5,898
2,000
Sasa hivi tunatumia drones, ndege isiyo na rubani na haitoi mlio, ipo juu ya misitu ya kibiti tunaangalia hadi sisimizi huku tunazoom kwa joysticks tukiwa hapa Dodoma....hahaha hii bangi ya leo naona ilivunwa wakati haijakomaa vizuri! Hizi operation za kufyeka bangi dah...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom