Naungana na Lyatonga Mrema kukomesha mauaji ya Rufiji na Kibiti

TISS ya simu hizi inaangalia watumishi wa umma wanaoisema serikali inapowadhulumu.

Lihakanga,
Unachosema ni ukweli mtupu. Kwa sasa nchi haina TISS ila kuna waviziaji na wanoko wa kufanyizia watu upinzani na watumishi wanaoikosoa serikali ya A5. Fikiria yule jamaa aliyemlenga Nape Nnauye kwa bastola mchana kweupe ati naye ni TISS.......!!!
Leo hii unapita mtaani unakuta jitu linatamba ati ni UWT(Usalama wa Taifa) ni afadhali wangejiita Umoja wa Wanawake Tanzania kwa maana halisi. Zamani huwezi kumjua Usalama wa Taifa hata ufanyaje labda uwe mdadisi sana!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom