naumwa wakuu!

habarini za leo ndugu zangu!
leo sijaamka vzr kabisa naumwa nina malaria na tonsils juu..hapa nasikia baridi sana na kichwa kinauma sana. Natamani kusoma posts za ndugu zangu humu ila nasoma kwa tabu. haya ndugu zangu kila la kheri ngoja niendele mdogomdogo. Tupo pamoja!!

Pole sana mkuu jamiif, natumaini umeanza antmalarial na antibiotics. mungu akujalie upone upesi ujumuike tena jukwaani
 
Last edited by a moderator:
Virusi vya maleria na virusi vya tonsils! Hakika utatangulia mbele za haki. Umeshaandika wosia?
 
habarini za leo ndugu zangu!
leo sijaamka vzr kabisa naumwa nina malaria na tonsils juu..hapa nasikia baridi sana na kichwa kinauma sana. Natamani kusoma posts za ndugu zangu humu ila nasoma kwa tabu. haya ndugu zangu kila la kheri ngoja niendele mdogomdogo. Tupo pamoja!!

pole sana Mungu wetu ni mwema atakuponya.
 
Hivi unamaanisha Preta huyuhuyu, au umekosea ukimaanisha Perry!

Naamini kuwa kuna kosa hapo, vinginevyo hiyo siyo sifa ya Preta tumjuaye!

Naam Kiongozi PakaJimmy asante kunisahihisha wajua nilikua naangalia match ya final kati ya Sofapaka Vs Gormahia mpira ulikua moto sana nami ikawa huku macho kuskrini huku jamvini that's y shem wangu Preta ukipita hapa niwie radhi !
Overlookin iliteki plesi .
Niliyo yacomment yanyooke kwa Perry !
 
Last edited by a moderator:
habarini za leo ndugu zangu!
Leo sijaamka vzr kabisa naumwa nina malaria na tonsils juu..hapa nasikia baridi sana na kichwa kinauma sana. Natamani kusoma posts za ndugu zangu humu ila nasoma kwa tabu. Haya ndugu zangu kila la kheri ngoja niendele mdogomdogo. Tupo pamoja!!
tumia zandu......kwisha mzizi wa fitina
 
Pole sana mwenzetu, kumbuka kutumia dawa na kufuata masharti.. Ni upepo tu, utapita.
 
habarini za leo ndugu zangu!
leo sijaamka vzr kabisa naumwa nina malaria na tonsils juu..hapa nasikia baridi sana na kichwa kinauma sana. Natamani kusoma posts za ndugu zangu humu ila nasoma kwa tabu. haya ndugu zangu kila la kheri ngoja niendele mdogomdogo. Tupo pamoja!!

Pole sana,unaendeleaje?
 
Back
Top Bottom