naumwa wakuu!

naumwa wakuu!

Vp swetilo umeamkaje?
Nina imani pole zetu zimekuponya dada.
 
habarini za leo ndugu zangu!
leo sijaamka vzr kabisa naumwa nina malaria na tonsils juu..hapa nasikia baridi sana na kichwa kinauma sana. Natamani kusoma posts za ndugu zangu humu ila nasoma kwa tabu. haya ndugu zangu kila la kheri ngoja niendele mdogomdogo. Tupo pamoja!!
Pole sana jamiif
Ugua pole utapona soon!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana! ila zingatia maagizo ya daktari.
 
asante my dear leo namshukuru Mungu nimeamka vzr kdg...pole zenu zinanipa nguvu na faraja kusema ukweli...
Vp swetilo umeamkaje?
Nina imani pole zetu zimekuponya dada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom