naumwa wakuu!

naumwa wakuu!

nashukuru sana ndugu yangu! Mungu akubariki nawe!

Hata mie mkuu nimepatwa na Malaria, imenianza ghafla jana....hapa sijawahi umwa malaria kama miaka 10 hivi...
 
pole yako shushia kiroba leria linatoka na huto tudude kohon
 
duh, pole sana my dear...Inshaallah Mungu atakuafu!
Hata mie mkuu nimepatwa na Malaria, imenianza ghafla jana....hapa sijawahi umwa malaria kama miaka 10 hivi...
 
duh, pole sana my dear...Inshaallah Mungu atakuafu!

shukran...nashukuru Mungu leo nimeamka vyema nadhani hadi kesho nitakua safi kabisa, natumai nawe usharejewa na afya...
 
namshukuru Mungu leo si mbaya nina nafuu kwa kweli. kila la kheri ndugu yangu!
shukran...nashukuru Mungu leo nimeamka vyema nadhani hadi kesho nitakua safi kabisa, natumai nawe usharejewa na afya...
 
asante ndugu yangu, nimetumia pen v kwa tonsils na nina nafuu kubwa sana. Asante kwa kujali ndugu. Mungu akubariki.
Kunywa pain killer, penv kwa ajili ya tonsizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom