Naumia sana; nifanyeje?

Pole dear. Haya mambo yapo tu but you have to accept the reality and move on.
 
shukuru Mungu, amekuepushia kikombe cha mateso, utafurahi si muda mrefu, ni pm tuanzie hapo mpaka kwenye furaha kamili..
 

We Mkali..
 
Watu wana bahati zao wallah! Yaani mwaka na nusu bado unamuombolezea yeye?! Kama ni mtoto si alishaanza vidudu na anajua kuhesabu na one to ten! Mweeh!
 
Pole dear. Haya mambo yapo tu but you have to accept the reality and move on.

kwani wewe uko singular tatiana?.. afu id yako inanikumbusha big brother enzi zile... tatiana na richard fvcking..
 
Nitakushauri nikipata muda, nadhani uliomba ushauri hukuomba kupewa pole...kama wengi wanavyofanya hapa! Niko kwa mobile nikitulia nitakushauri ufarijike ILA hakuna haja ya kutafuta "mfariji mtaabishaji" kwa sasa
 

If you let past loves rule your future then you will never live anywhere but in the bubble made of the former pain and you will live there alone
 
If you let past loves rule your future then you will never live anywhere but in the bubble made of the former pain and you will live there alone

Hicho ndio nachokikwepa. Nataka niishi yangu. Naona imenichukua muda na sijui nifanyeje
 
kweli mwanamke akipenda anapenda vibaya, yaani mwaka na nusu bado ulikuwa unamngoja arudi, pole sana jaribu kukubali situation, tafuta mwingine.
 
Nitakushauri nikipata muda, nadhani uliomba ushauri hukuomba kupewa pole...kama wengi wanavyofanya hapa! Niko kwa mobile nikitulia nitakushauri ufarijike ILA hakuna haja ya kutafuta "mfariji mtaabishaji" kwa sasa

Kweli natafuta ushauri. Hizo pole marafikiri zangu walinipa sana. Nimezichoka. Nachotaka ni kutoka kwenye hii hali
 

If you let past loves rule your future then you will never live anywhere but in the bubble made of the former pain and you will live there alone,Heartbreaks will last as long as you want and cut deep as you allow them to go; the challenge is not how to survive heartbreaks but to learn from them. Unaitaji ukaribu wangu,mi nshakumbana nazo 2 izo kesi na niko happy mpaka leo
 
Be strong bhana,yaache yapite,utampata wa ukweli vuta subira wangu....

Thanks. Ndio nilikuwa navuta subira kustuka miaka inaenda..am still in the past. I need to leave the past where it is...ila nikafikiri kuwa sinajia approach nzuri ndio maana mpaka leo nipo kule tu. Hizi njia za kidhungu wanazoandika mtandaoni naona hazijaapply kwangu
 
Wewe sio wa kwanza kupatwa na mambo kama hayo. Wapo walioachwa tena kwa kutukanwa na kudharauliwa, wapo walioondokewa na wapendwa wao na wakavumilia wakasahau. Chukulia hayo ni mapito na mitihan......
 
Nilimjibu ms yake nikampongeza na kumtakia kila lakheri. Pia nikamwambia sitoshiriki. Sikumtukana maana hata siwezi kutukana sina pa kuanzia. Ila siwezi shiriki kabisa harusi ya ex wangu.
 
Kila kitu kinatokea kwa makusudi, we tulia endelea kumwomba Mungu utamsahau na maisha yataenda

Ndio nilitaraji hivi kuwa nitasahahu ila miaka hiyo ikapita. Namwomba sana Mungu hata kabla ya haya yote na sijaacha.
 
pole my dear,kwanza jua wewe unathamani kubwa sanana you dont deserve him,japo hutaki kuambiwa yupo wa kwako lakini ukweli ndio huo kwamba huyo hakuwa wako na uamini hilo.....fanya sala sana na acha kuwa desperate of being married! kubali hilo lililotokea fanya yako kwa sababu maisha yanaendea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…