mmmhhh! simo, ngoja nimuite mwenyewe akujibu! we Bishanga njoo waitwa huku! mngoje kidogo Smiling Saint yu aja!Bishanga hayuko hapo?
banda la wakubwa yuko nani? maana kuna watoto under 18 wananyemelea!
mmmhhh! simo, ngoja nimuite mwenyewe akujibu! we Bishanga njoo waitwa huku! mngoje kidogo Smiling Saint yu aja!
Haahahahaa Smiling Saint twende ukaone bidhaaliko sehemu gani sijui.... ila sijui hta kuna bidhaa gani?!!
Hehehehee hawa ndio mamod wa kule eeeeeh
LiverpoolFC mi ntakuwa getini kwa ajili wa kuwapokea wageni woteHata A town tumeanza maandalizi ya Banda letu hapa Nanenane Njiro na bila shaka itakuwa na kila aina ya kipeperushi ndani ya serikali leGeleGE kama ilivyo hii yetu!
Na haya yote iko ktk mpangilio kwa hawa Members hapa A town
1) Pakajimmy
2)Mzee wa Rula
3)Preta
4)Filipo
5)Mtumishi wetu
6)LiverpoolFC
7).........
8)..................
9)....................
10) Mungi.
Na tunawakaribisha wageni wote ambao tutawaalika na mipango kabambe itaanza rasmi siku kadha sijazo.
Tunatamani Member wote wa JF watakaopata mwaliko wasisite kufika na wafurahi nasi hapa kwenye Jiji la A town.
Mengi tutarudi kwa kupandisha thread ya mwaliko!
Smiling,Bajabiri na wengine wa hapo Dar jitayarisheni mtapata mwaliko wa kuja hapa A town na breki ya kwnz ni kwenye banda letu hapa Nanenane Njiro!
Na hata hapo mlipo kwa niaba ya viongozi wangu hapa A town tunawatakia kila la Kheri na mwendelee vema ktk kuboresha mtandao wetu na hata bila ya kuchoka na MUNGU akiwatia nguvu kama ilivyo ada kwani tuna Imani anaweza yote.
Heheheheeee hawa patakuwa full kuuza na banda letu litakuwa juu sanayaani najaribu kupata picha! Mwanakijiji ana-market kitabu chake
Bishanga ana-market ndizi bukoba
erickb5 na Young master wanatoa huduma za it
BAGAH anaitambulisha rasmi bagah event masters,
Asprin anauza picha za mtandaoni, ilhali MziziMkavu na Saint Ivuga wako busy kupiga picha
Kongosho na Mwali wanaitangaza albamu yao ya taarabu
Paw anauza vitabu vya kanuni za JF
ni mtazamo wa jf ikiwa 7 7
We cacico mbona jana ulinikimbia?mmmhhh! simo, ngoja nimuite mwenyewe akujibu! we Bishanga njoo waitwa huku! mngoje kidogo Smiling Saint yu aja!
kikao kipi na we acha ufukunyuku! jana Asprin kalala kwa BADILI TABIA, na nimepita kwao bado wanaliendeleza libeneke! ndio mke mkubwa ebo? ss hicho kikao kilikuwa saa ngapi?nilisikia ana kikao na Asprin, wamemaliza?
Ban haifai charmingladyaah me nasuggest mods wawe na pingu (ban) ukikosea tu kanuni za jf unapigwa pingu on the spot
Heheheheeee hawa patakuwa full kuuza na banda letu litakuwa juu sana
wewe si upo hapo reception? akija spika muambie majina mnayomtambua mkiwa jf, halafu akipita vasco niombee lift ya kwa obama, akipita makamu wake mwambie kuna mtaro umechimbwa mtaani kwetu tunamuomba aje kuzindua... natanguliza shukrani