naulizia banda la JF pale sabasaba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naulizia banda la JF pale sabasaba

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lucas, Jul 4, 2012.

 1. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  liko sehemu gani sijui.... ila sijui hta kuna bidhaa gani?!!
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hhahahaha,,,bidhaa ni rahis kupata,mfano jamii photos,vijarida vya mapenzi,drivers,bundle za mitandao mbalimbali including eateli,profile za members wa hapa,matamko mbalimbali,taarifa zilizotolewa na asasi mbalimbali including MoI,pamoja na hotuba za kambi za upinzani
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Tupo karibu na banda la google na facebook. Tumesheheni siri za Serikali na madudu yao. Tuna kila nyaraka na habari uitakayo. Karibu!
   
 4. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mh! kwa hiyo wapo sehemu gani?
   
 5. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  vipi na katiba mpya je?
   
 6. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Customer care ni erotica
   
 7. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  yaani najaribu kupata picha! Mwanakijiji ana-market kitabu chake
  Bishanga ana-market ndizi bukoba
  erickb5a na Youngmaster wanatoa huduma za it
  BAGAH anaitambulisha rasmi bagah event masters,
  Asprin anauza picha za mtandaoni, ilhali MziziMkavu na Saint Ivuga wako busy kupiga picha
  Kongosho na Mwali wanaitangaza albamu yao ya taarabu
  Paw anauza vitabu vya kanuni za JF

  ni mtazamo wa jf ikiwa 7 7
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  safi sana
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hii kali, kastama kea akiwa erotica wateja watapona kutwangwa uroda?
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Na ili kuwa tofauti na mabanda mengine,mamods wavae kaniki,au mnasemaje wadau...
   
 11. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mods washike bakora tuu... halafu kwenye bidhaa, ziwepo pia nakala za thread zilizowahi kukamata mawazo na akili ya wengi to the fullest!
   
 12. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ninazo burger mpaka za maboga...
  burger zenye nyama ya wow!wow!wow! (najua kuna watu wamenielewa)
  niko vizuri, nimejipanga!...nipo karibu na banda la NDOVU SPECIAL MALT...
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  aah me nasuggest mods wawe na pingu (ban) ukikosea tu kanuni za jf unapigwa pingu on the spot
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hata A town tumeanza maandalizi ya Banda letu hapa Nanenane Njiro na bila shaka itakuwa na kila aina ya kipeperushi ndani ya serikali leGeleGE kama ilivyo hii yetu!

  Na haya yote iko ktk mpangilio kwa hawa Members hapa A town

  1) Pakajimmy
  2)Mzee wa Rula
  3)Preta
  4)Filipo
  5)Mtumishi wetu
  6)LiverpoolFC
  7).........
  8)..................
  9)....................
  10) Mungi.

  Na tunawakaribisha wageni wote ambao tutawaalika na mipango kabambe itaanza rasmi siku kadha sijazo.
  Tunatamani Member wote wa JF watakaopata mwaliko wasisite kufika na wafurahi nasi hapa kwenye Jiji la A town.

  Mengi tutarudi kwa kupandisha thread ya mwaliko!

  Smiling,Bajabiri na wengine wa hapo Dar jitayarisheni mtapata mwaliko wa kuja hapa A town na breki ya kwnz ni kwenye banda letu hapa Nanenane Njiro!

  Na hata hapo mlipo kwa niaba ya viongozi wangu hapa A town tunawatakia kila la Kheri na mwendelee vema ktk kuboresha mtandao wetu na hata bila ya kuchoka na MUNGU akiwatia nguvu kama ilivyo ada kwani tuna Imani anaweza yote.
   
 15. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  LiverpoolFC, hilo banda naomba lisiwe karibu na matongee au kwa nick, maana watu kama Erickb52 na Preta mahudhurio itakuwa mgogoro!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Banda la JF lipo nje ya Uwanja wa Sabasaba pale kwenye entrace nje limeandikwa kwa MAANDISHI MAKUBWA ( USALAMA WA RAIA)
   
 17. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wewe si upo hapo reception? akija spika muambie majina mnayomtambua mkiwa jf, halafu akipita vasco niombee lift ya kwa obama, akipita makamu wake mwambie kuna mtaro umechimbwa mtaani kwetu tunamuomba aje kuzindua... natanguliza shukrani
   
 18. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mi nipo na King'asti tuna nadi dawa za MziziMkavu zinavyogombaniwa we acha tu
   
 19. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hapana, pale ni jukwaa la complaints tuu
   
 20. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  banda la wakubwa yuko nani? maana kuna watoto under 18 wananyemelea!
   
Loading...