nani kamwaga pombe yangu?
Nani kamwaga pombe yangu?
Nani kamwaga pombe yangu?
Nani kamwaga pombe yangu?
Hahahahaha,nimejikuta nacheka tu hapa,we si ndio upo hapo na umemuona sasa sisis tutamjuaje wakati hata eneo la tukio hatulijui..??Kwa mfano na mimi nikuulize ile suruali yangu nitakayovaa kesho iko wapi..??
Yaani uiywe kwa pupa afu usingizie imewagwa? Kweli joto hasira!
Nani kamwaga pombe yangu?