Hivi kwa nini watu wanapenda wanapotembea kushikilia funguo za magari mikononi ilhali funguo za majumbani au ofisini mwao wanaziweka mfukoni au kwenye mikoba kama ni wanawake??

.
Kakakaaaaa......kuwa na gari kuna raha yake kaka......
Siku hizi hata vifungo vya boda boda vinaning'inizwa.....raha tupu
Hivi kwa nini watu wanapenda wanapotembea kushikilia funguo za magari mikononi ilhali funguo za majumbani au ofisini mwao wanaziweka mfukoni au kwenye mikoba kama ni wanawake??
Hivi kwa nini watu wanapenda wanapotembea kushikilia funguo za magari mikononi ilhali funguo za majumbani au ofisini mwao wanaziweka mfukoni au kwenye mikoba kama ni wanawake??
Kutafuta ujiko na kiukweli ni ushamba.Hivi kwa nini watu wanapenda wanapotembea kushikilia funguo za magari mikononi ilhali funguo za majumbani au ofisini mwao wanaziweka mfukoni au kwenye mikoba kama ni wanawake??