Nauliza kwa hela hii nitapata simu ipi ya Samsung?

Nauliza kwa hela hii nitapata simu ipi ya Samsung?

Kwa nini huyu sir God asiwaangazie hao wasiojiweza ili wajiweze!

Acha jamaa anunue simu aisee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Yaani nyinyi ndio mmejaza ndani vitu used kisa original.
Kwann usinunue mpya? Unakaa na friji,microwave, pasi,blender chupi tv nk vyote used tuondokane na hii kasumba HV uoni raha kuwa wa kwanza kutumia!

Unaweza ukanunua simu used bahati mbaya ilidumbukia chooni, yani imeloa mavi na mikojo na mazaga zaga kibao..yanini sasa! Si bora ukanunue simu mpya.
 
Back
Top Bottom