Nauliza kwa hela hii nitapata simu ipi ya Samsung?

Nauliza kwa hela hii nitapata simu ipi ya Samsung?

usihangaike na samsung utateseka na charge na utazurura na power banks kama fundi umeme tafuta Infinix au Oppo
 
J series ni kama tecno tu hazina utofauti, kwa hiyo bei unapata galaxy s6 au ukiongeza hapo 50k unachukua galaxy s6 edge.
 
J series ni kama tecno tu hazina utofauti, kwa hiyo bei unapata galaxy s6 au ukiongeza hapo 50k unachukua galaxy s6 edge.

Kumbe mkuu unazionaga vzuri hizo simu hata mimi sizielewagi kabisa,

Hapo kwenye s 6 uko sawa kabisa au A series pia kama ziko vzuri
 
kwa hela hiyo hiyo na inabaki ingia ebay au amazon tafuta used Iphone 6s, kilichotumika nje sio sawa na kilichotumika bongo, me nafaidi iphone 6 kwa Tsh. 380,000/= sichangii chaja na mtu na sio kitu kilicho zagaa
Yaani nyinyi ndio mmejaza ndani vitu used kisa original.
Kwann usinunue mpya? Unakaa na friji,microwave, pasi,blender chupi tv nk vyote used tuondokane na hii kasumba HV uoni raha kuwa wa kwanza kutumia!
 
Achana na biashara ya kununua majina, angalia quality ya service unayopata.. sumsung ya kutembea na power bank muda mfupi baada ya kununua ni ya nini? nenda kanunue infinix s3 au s4 ule mema ya nchi..
 
a5 2016 iko poa san na inakaa chaj usipime.. i can say a series zinakaribia flagship
 
Back
Top Bottom