Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
Kabisa Mkuu, maana wanavyolamba rushwa ni balaa.Tena ingekuwa amri yangu ningesema wasilipwe kabisa.
Hii kucheleweshewa naona bado ni favor wanapata.
Kabisa Mkuu, maana wanavyolamba rushwa ni balaa.Tena ingekuwa amri yangu ningesema wasilipwe kabisa.
Hii kucheleweshewa naona bado ni favor wanapata.
Bora waendelee tu kupigwa kalenda.Malipo ni hapa hapa duniani. Kuna askari hawajalipwa mafao tangu 2017. Wanapigwa kalenda tu.
Ahsante kwa kunijulisha tabia zenuwacha kisirani ni tabia za kike.
Yani tena ingekuwa inawezekana,wakifa wawe wanazikwa wamesimama kabisa hawana maana-siyo wenzetu hawaTena ingekuwa amri yangu ningesema wasilipwe kabisa.
Hii kucheleweshewa naona bado ni favor wanapata.
Wasilipwe kabisa hao, tena ikibidi wawekwe ndaniSi kila askari alijiandaa kuwa na kitega uchumi akiwa kazini lahasha, lakini sasa kwanini anapostaafu asipewe nauli ya kumrudisha kwao kwa wakati ili aende apambane na mashamba?
Swala hili viongozi na Waziri wa mambo ya ndani alitolea ufafanuzi lakini hamna utekelezaji sijui ni kumbembeleza mtoto kwa pipi au la.
kwa sasa mtu anastaafu nauli yake haiji baada tu ya kustaafu, fuatilieni ni wangapi wapo makambini wanasubiri nauli na wameisha staafu na nauli hizo hazii, watu wamekaa miezi sisi tukiwemo, pensheni ndio usiseme, mfuko wa pensheni PSSSF wanasema Serikali.
Inachelewesha kulipa Michango ya wanachama wake ndio maana na wao wanachelewa kuwalipa pensheni zao, serikali hiyo hiyo ndio inayotoa maagizo watu walipwe mapema, sasa hawa watu wanatuonaje sisi mfano, sasa hapa tunashindwa kuelewa ni kampeni ili wapate kura za wastaafu au ni nini.
Wastaafu kama askari wamekuwa wakitaabika baada ya kustaafu, si nauli ya kurudi kwao si pensheni hamna kitu, huenda NSSF inayokusanya michango ya private sector wana unafuu sana labda, ila PSSSF imetuchosha mno mno.
Sidhani kama kuna huruma yoyote ile kwa wastaafu wa PSSSF.
Madhara yake ni makubwa ujue wataishije sasa wakati pesa zao zilikatwa kwenye mishahara,Wasilipwe kabisa hao, tena ikibidi wawekwe ndani
Namshauri mama yetu Mpendwa sana aunganishe hii mifuko ili iweze kukidhi matakwa ya wastaafu,Si kila askari alijiandaa kuwa na kitega uchumi akiwa kazini lahasha, lakini sasa kwanini anapostaafu asipewe nauli ya kumrudisha kwao kwa wakati ili aende apambane na mashamba?
Swala hili viongozi na Waziri wa mambo ya ndani alitolea ufafanuzi lakini hamna utekelezaji sijui ni kumbembeleza mtoto kwa pipi au la.
kwa sasa mtu anastaafu nauli yake haiji baada tu ya kustaafu, fuatilieni ni wangapi wapo makambini wanasubiri nauli na wameisha staafu na nauli hizo hazii, watu wamekaa miezi sisi tukiwemo, pensheni ndio usiseme, mfuko wa pensheni PSSSF wanasema Serikali.
Inachelewesha kulipa Michango ya wanachama wake ndio maana na wao wanachelewa kuwalipa pensheni zao, serikali hiyo hiyo ndio inayotoa maagizo watu walipwe mapema, sasa hawa watu wanatuonaje sisi mfano, sasa hapa tunashindwa kuelewa ni kampeni ili wapate kura za wastaafu au ni nini.
Wastaafu kama askari wamekuwa wakitaabika baada ya kustaafu, si nauli ya kurudi kwao si pensheni hamna kitu, huenda NSSF inayokusanya michango ya private sector wana unafuu sana labda, ila PSSSF imetuchosha mno mno.
Sidhani kama kuna huruma yoyote ile kwa wastaafu wa PSSSF.
Wanatakiwa wafe bila kuzilonaMalipo ni hapa hapa duniani. Kuna askari hawajalipwa mafao tangu 2017. Wanapigwa kalenda tu.
Nendeni mkaandamane kudai hela zenu, halafu watakuja askari vijana kuwashughulikia kwa virungu.... mshahara wa dhambi ni mauti😡
Siku hizi tunasema kale mmaako alipo olewaWapinzani wangekuwepo bungeni wangewatetea Askari lakini Askari hao hao ndio walishirikiana na wanaowacheleweshea nauli/mafao kuukandamiza upinzani.
Mtajua hamjui.
Nendeni mkale mlikopeleka mboga
Tusijuimuishe mabaya yanayofanywa na baadhi ya askari kwa kuwahukumu polisi woteWakati wenzenu wanahangaika hadi kufuga kuku na kulima nyanya nyie mnakuaga bize kuwapiga na kuwachukulia vihela vyao kwa rushwa zenu, kibaya zaidi mnahangaika na siasa ambazo hata haziwahusu, hiii ndio malipo yake , mkiwanga na mayunifomu mnakuaga kama vile kufa hakuna wala kustaafu , pambaneni na hali zenu wazoea vya kunyonga nyinyi
🤣🤣🤣🤣Tena ingekuwa amri yangu ningesema wasilipwe kabisa.
Hii kucheleweshewa naona bado ni favor wanapata.