Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

Bora nipande Fastjet kuliko basi, Mwanza to Dar kwa Dar -Mwanza
Ordinary Bus Tsh42600, Semi Luxury Bus Tsh61400, Luxury Bus Tsh67500 wakati Fastjet ni 75,000/= tu

FastJet ongezeni ndege za kutosha
 
Dar -Bukoba
Ordinary Bus Tsh55100, Semi Luxury Bus Tsh77300, Luxury Bus Tsh85000.
lol, hapo kwenye red mbona unatutisha!!! Na migomba ilivyoharibika ikiwa na marufuku za uvuvi ziwani si ndo tumekwisha!!?

By the way, ukiangalia jinsi hawa SUMATRA/TABOA (sijui na mambo gani mengine) wanavyopanga nauli ndio utajua kuwa hawana lolote la maana wanalofikiria. Hebu angalia mfumo wote wa nauli unaelekeza 'DAR - .....(upcountry)'. Yaani ile theory aliyoacha mkoloni mpaka leo hawawazi upya, kwa nini hawataji mfano Bukoba - Musoma, Tabora - Kigoma, Uvinza - Sumbawanga nk. Yaani wenyewe wanaamini nchi yote inasafiri kuja na kutoka Dar. Kwa kifupi hawana jipya na ni bora wangeacha nguvu ya soko ifanye kazi yake kama Fasjet wanavyoofa 32k
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ishara ya kukubaliana na nauli ni hii
 
lol, hapo kwenye red mbona unatutisha!!! Na migomba ilivyoharibika ikiwa na marufuku za uvuvi ziwani si ndo tumekwisha!!?By the way, ukiangalia jinsi hawa SUMATRA/TABOA (sijui na mambo gani mengine) wanavyopanga nauli ndio utajua kuwa hawana lolote la maana wanalofikiria. Hebu angalia mfumo wote wa nauli unaelekeza 'DAR - .....(upcountry)'. Yaani ile theory aliyoacha mkoloni mpaka leo hawawazi upya, kwa nini hawataji mfano Bukoba - Musoma, Tabora - Kigoma, Uvinza - Sumbawanga nk. Yaani wenyewe wanaamini nchi yote inasafiri kuja na kutoka Dar. Kwa kifupi hawana jipya na ni bora wangeacha nguvu ya soko ifanye kazi yake kama Fasjet wanavyoofa 32k
labda ofis zao za mikoan zitatoa mwongozo
 
'hawa wa musoma kigoma na tabora dah,mh'
 
Arusha -Mbeya
Ordinary Bus Tsh45400, Semi Luxury Bus Tsh65500, Luxury Bus Tsh72000.
 
Shukrani mdau kwa kutuletea viwango vipya
hapa jukwaani ila viko juu sehemu nyingine
hata ndege zingeanza safari.
 
Nauli ya Mwanza-Dar ni sawa na kuwalipia ada ya mwaka watoto watatu wanaosoma shule za kata na chenji inabaki.
 
lol, hapo kwenye red mbona unatutisha!!! Na migomba ilivyoharibika ikiwa na marufuku za uvuvi ziwani si ndo tumekwisha!!?

By the way, ukiangalia jinsi hawa SUMATRA/TABOA (sijui na mambo gani mengine) wanavyopanga nauli ndio utajua kuwa hawana lolote la maana wanalofikiria. Hebu angalia mfumo wote wa nauli unaelekeza 'DAR - .....(upcountry)'. Yaani ile theory aliyoacha mkoloni mpaka leo hawawazi upya, kwa nini hawataji mfano Bukoba - Musoma, Tabora - Kigoma, Uvinza - Sumbawanga nk. Yaani wenyewe wanaamini nchi yote inasafiri kuja na kutoka Dar. Kwa kifupi hawana jipya na ni bora wangeacha nguvu ya soko ifanye kazi yake kama Fasjet wanavyoofa 32k

Mkuu Sumatra wanatoa Viwango vya nauli za nchi nzima, labda ungesema unataka nauli ya kutoka wapi kwenda wapi ingekuwa rahisi kujulishwa!
 
Back
Top Bottom