PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
kabisa hata mimi sijapenda maana uzi kwanzaunakuwa mrefu sana halu vitu pia vimebadirika ,kuunganisha uzi hivi si sahihi maana unaanza kutafuta coment kwa toch tenaAdmn muda mwingine ni kama serikali ya..... maana uzi wa mwaka 2013 ana unganisha na uzi wa mwaka 2018.... ili nini kitokee... nauli za mwaka 2013 na za mwaka 2018... wa TZ tuna safari ndefu sana ya kufika....
kama data center yenu ina uwezo mdogo wa kutunza data... tafuteni namna ya kuongeza uwezo ili watumiaji waweze kufurahia huduma yenu... muda si mrefu mtakuja kuchokwa kama serikali iliy.....!
maana na nyinyi mmekuwa kero...