bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,998
- Thread starter
- #61
Nshakujua Mkuu we Ni nani. Wewe SI ndo yule usietaka Ushauri?Hivi anayejua kama kampuni.inaendeshw kwa Hasara ni mpiga debe na wakala eeeh?
SI WAFUNGE? Mnasikitika sana but not to that extent
Sasa wakifunga unajua Ni kaya ngap zitaadhirika?
Mbona ulituomba kura na tulikupa? Acha hasira kila wakati