Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Dar ni mbali Kilometre 680 wakati Bandari ya Mombasa ni Km 300 na Nairobi Km 270 utaenda wapi Kibiashara?
Wewe jamaa ni kiaziNauli ikipanda mnalialia
ikishuka pia mlie!!
Wacheni unafiki
ujue walio kuwa wakisafiri mara kwa mara hawakuwa na sababu za maana za kusafiri
Sasa kama hata Arusha wanalalamika, faida ya chadema ni nini sasa??WanaJF wenzangu naona huu ukosefu wa abiria umesababisha nauli kushuka kwa kiwango kikubwa Sana.
Sasa hivi ukipanda basi mkizidi sana mpo ishirini.Nipo hapa stand kubwa ya mabasi Arusha naongea na wapiga debe pamoja na mawakala wa mabasi wanachoniambia kinasikitisha kwa kweli.
Wanadai sasa hivi wanaendesha kampuni kwa hasara kwani abiria hamna na abiria mmoja mmoja anaekuja analalamika Hana hela ndo mana ikafika hatua tunampandisha kwenye basi hadi kwa tsh 13000 au 15000.
Na kwa Sasa yale mabasi ya luxury ya asubuhi kabisa Yanabeba abiria hadi kwa elfu 20000.
Jamani sasa hivi mtu akitaka kusafiri toka nyumbani na hela yako yoyote tu uliokuwa nayo Basi utapata.
Huwa wanaringa sana kipindi cha Christmas kwa hiyo wanafidia.WanaJF wenzangu naona huu ukosefu wa abiria umesababisha nauli kushuka kwa kiwango kikubwa Sana.
Sasa hivi ukipanda basi mkizidi sana mpo ishirini.Nipo hapa stand kubwa ya mabasi Arusha naongea na wapiga debe pamoja na mawakala wa mabasi wanachoniambia kinasikitisha kwa kweli.
Wanadai sasa hivi wanaendesha kampuni kwa hasara kwani abiria hamna na abiria mmoja mmoja anaekuja analalamika Hana hela ndo mana ikafika hatua tunampandisha kwenye basi hadi kwa tsh 13000 au 15000.
Na kwa Sasa yale mabasi ya luxury ya asubuhi kabisa Yanabeba abiria hadi kwa elfu 20000.
Jamani sasa hivi mtu akitaka kusafiri toka nyumbani na hela yako yoyote tu uliokuwa nayo Basi utapata.
...umeshangaa,umefurahi,Haki ya nane nimeshangaa, huwezi amini
Asante mtetezi wa wanyonge, Mungu akuzidishie!!Nauli ikipanda mnalialia
ikishuka pia mlie!!
Wacheni unafiki
ujue walio kuwa wakisafiri mara kwa mara hawakuwa na sababu za maana za kusafiri
Hata Dar express na Kilimanjaro nao walikuwa hivo lakini siku hizi hata ukiwa na 18,000 unapanda zako Basi na Siti za kulala zinakuwepo.Tahmeed hawawezi kushusha, kampuni ya kitajiri, nakumbuka tumewahi kupanda abiria 15 tu kutoka Dar-Moshi.
Abiria 15 ndio nimesema
....hahahaha.,kumbe bado haujanyooka,unatuektiaga tu kujilizaHaaaa
Haaaaaa makande sahani sahivi jero Tu bana.
Wali nyama za kazi gani
Hivi anayejua kama kampuni.inaendeshw kwa Hasara ni mpiga debe na wakala eeeh?WanaJF wenzangu naona huu ukosefu wa abiria umesababisha nauli kushuka kwa kiwango kikubwa Sana.