Nauli Arusha - Dar yashuka mpaka shilingi 13,000-15,000

mwezi wa 3-4-5 hakunaga wasafir
mimi naendaga masasi gari halijajaa
mnarudi hata watu 20
mvua hizi nani asafiri

Baaaah!! Hata mimi hili juzi nimiliona!! Ili kupata jirani kwenye basi hadi uhame siti, kweli hakii?? Mmmaaaah!! Nsimu ungekuwa kila mwezi jamaaaah!!
 
Sio kila kitu Rais,sasa hivi hata ug,ke..ni hivyo hivyo.
 
mwaka huu wazee wa route za kusini watalogana sana na kutoa misukule sana tuu maana hari sio kabisa yan....
 
Sahiv hamna siti za kukaa kuna siti za kulala aisee
mwaka huu wazee wa route za kusini watalogana sana na kutoa misukule sana tuu maana hari sio kabisa yan....
 
Mkuu nauli kushuka wanaolia sio abiria Bali Ni hao mawakala na wapiga debe pamoja na wamiliki kutokana na gharama za uendeshaji kuwa kubwa kuliko kipato
kwa upande WA pili wapiga debe na mawakala wanalia kutokana na kukosa posho
wakalime.....!maisha sio stand tuu....!
 
WanaJF wenzangu naona huu ukosefu wa abiria umesababisha nauli kushuka kwa kiwango kikubwa Sana.

Sasa hivi ukipanda basi mkizidi sana mpo ishirini.Nipo hapa stand kubwa ya mabasi Arusha naongea na wapiga debe pamoja na mawakala wa mabasi wanachoniambia kinasikitisha kwa kweli.

Wanadai sasa hivi wanaendesha kampuni kwa hasara kwani abiria hamna na abiria mmoja mmoja anaekuja analalamika Hana hela ndo mana ikafika hatua tunampandisha kwenye basi hadi kwa tsh 13000 au 15000.

Na kwa Sasa yale mabasi ya luxury ya asubuhi kabisa Yanabeba abiria hadi kwa elfu 20000.

Jamani sasa hivi mtu akitaka kusafiri toka nyumbani na hela yako yoyote tu uliokuwa nayo Basi utapata.
Hyo ni toka zaman. Ukifika hapo stand yutong luxury ni 20000 sometimes hata 17 hayo magobole ukibagain hata 10000 unaenda.
 
Ndio vzr muende kwenu ambao hamkwenda xmass,,ila hii pasaka mtaleta tena malalamiko huku huku
 
Hiyo nauli ya 13,000 -15,000 huyo abiria anapanda UNGO unaotumia fuel na njia /barabara ya asilia??
Maana kama ni njia zetu za kawaida na basi lililonununuliwa kwa mamilioni ya pesa HIWEZEKANI , vinginevyo labda uwe usafiri wa guta au punda ndipo yaweza kuwa bei hiyo.
WanaJF wenzangu naona huu ukosefu wa abiria umesababisha nauli kushuka kwa kiwango kikubwa Sana.

Sasa hivi ukipanda basi mkizidi sana mpo ishirini.Nipo hapa stand kubwa ya mabasi Arusha naongea na wapiga debe pamoja na mawakala wa mabasi wanachoniambia kinasikitisha kwa kweli.

Wanadai sasa hivi wanaendesha kampuni kwa hasara kwani abiria hamna na abiria mmoja mmoja anaekuja analalamika Hana hela ndo mana ikafika hatua tunampandisha kwenye basi hadi kwa tsh 13000 au 15000.

Na kwa Sasa yale mabasi ya luxury ya asubuhi kabisa Yanabeba abiria hadi kwa elfu 20000.

Jamani sasa hivi mtu akitaka kusafiri toka nyumbani na hela yako yoyote tu uliokuwa nayo Basi utapata.
 
Tumtoeni huyu jamaa
Mkuu unamaanisha kweli? Au nso wale wa kuitisha maandamano ya nchi nzima lkn wakupigwa ni wengine na yeye anakula mayai south africa kesho yake?

Tuwe siriazi
 
WanaJF wenzangu naona huu ukosefu wa abiria umesababisha nauli kushuka kwa kiwango kikubwa Sana.

Sasa hivi ukipanda basi mkizidi sana mpo ishirini.Nipo hapa stand kubwa ya mabasi Arusha naongea na wapiga debe pamoja na mawakala wa mabasi wanachoniambia kinasikitisha kwa kweli.

Wanadai sasa hivi wanaendesha kampuni kwa hasara kwani abiria hamna na abiria mmoja mmoja anaekuja analalamika Hana hela ndo mana ikafika hatua tunampandisha kwenye basi hadi kwa tsh 13000 au 15000.

Na kwa Sasa yale mabasi ya luxury ya asubuhi kabisa Yanabeba abiria hadi kwa elfu 20000.

Jamani sasa hivi mtu akitaka kusafiri toka nyumbani na hela yako yoyote tu uliokuwa nayo Basi utapata.
Elfu 13 Arusha-Dar?

hiyo itakuwa hatari.
 
Unabisha nini sas
Hiyo nauli ya 13,000 -15,000 huyo abiria anapanda UNGO unaotumia fuel na njia /barabara ya asilia??
Maana kama ni njia zetu za kawaida na basi lililonununuliwa kwa mamilioni ya pesa HIWEZEKANI , vinginevyo labda uwe usafiri wa guta au punda ndipo yaweza kuwa bei hiyo.
Namimi nimepeleka msafiri hapo stand, na isitoshe nimeongea na hao wadau Wa usafirishaji baada ya kuona hali sio
 
Mbona hao wakulima wenyewe wanalalamika
Basi wabuni njia nyingine ya kutafuta pesa.....!sio kung'ang'ania stand maana hiyo stand ya Arusha wapiga debe ni wasumbufu sana....
Unakuta wapiga debe wanamgasi mtu utafikiri abiria hajui aendako...!

Ukienda kupanda coaster za Moshi utakuta jitu kubwa limefuga ndevu nyingi eti linaweka bosheni kwenye gari ili abiria wakiona waingie akiona abiria wameanza kujaa unaliona hilo linatoka na ndevu zake kama mavuzi ya kenge unasikia Moshi Moshi Moshi Moshi wawili wa haraka.....

Huwa najiuliza mijitu kama hii inakula kwa wazazi...?au yanafugwa na wanawake.....?maana kwa akili ya kawaida sidhani kama mtu huyo unaweza kumiliki familia kwa style ya kuweka bosheni kwenye coaster za Arusha/Moshi

Ushauri wakatafute kazi waache kupoteza mda wao....!hata wakienda pale msikiti wa bondeni kudeki nayo ni kazi pia......!
 
Back
Top Bottom