Naughty by nature

Naughty by nature

mara nyingi tunaouita ustaarabu ni kujipunguzia uhuru na enjoyment ya vitu

Thats why huwa natamani kucheka "wastaarabu" wanavyonitumbuliaga mijicho kwenye hoteli wanazoita za hadhi pale ninapoagizaga kuku au any kind of meat/fish na kunawa mikono..I enjoy it more than them when using hands and they pretend not to realize that!!!!

Mkute jamaa anavyohangaika kumzuia kuku asiteleze mpaka mezani kwa kutumia folk na knife!!!! na kwa makusudi wanakuwekea kwenye sahani flat haina hata ukingo

Ha ha ha ha! Mkuu Inkhubu umenichekesa sana.
Kweli huu uzungu unawaumbua wengi sana.Hata mimi hua nanawa mikono na kumla kuku wangu vizuuuri kabisa sitaki shida mie.

Hua natumia kisu na umma pale ninapokula pizza na vitu kama hivyo ambavyo haviko complicated.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha mimi hua nafuatilia sana nyuzi za mshana jr kwahiyo kwa namna moja ama nyingine nimekua najua vitu vingi kupitia yeye.
Hata kazi yake aliyokua akiifanya aliisema,sasa nitasahau vipi?
JF imekua sehemu ya maisha yangu kwa sasa.Kwahiyo chukulia poa tu.

Niko interested kujua kazi anayoifanya.

Afu kwanini umeblock PM? Hutaki nikutongoze??
 
asante kwa picha kesho lazima niwaadhibu hawa watoto
 
Niko interested kujua kazi anayoifanya.

Afu kwanini umeblock PM? Hutaki nikutongoze??

Sina kazi yoyote zaidi ya kushinda JF.
Pia huwezi kunitongoza mie mke wa mtu bwana.
 
Sina kazi yoyote zaidi ya kushinda JF.
Pia huwezi kunitongoza mie mke wa mtu bwana.

Nisome vizuri.... siko interested kujua kazi yako bali ya mshana jr ambayo umesema unaijua. Nataka nimloge huyu mtu.
 
Last edited by a moderator:
Hahaa... Umenikumbusha mawili kwa wakat m1 nilipoona naughty by nature nikadhani kundi la mziki la u.s.a nikawa nimekumbuka meng kichz, nikajianda kuandika jinsi kundi hili nilivyokuwa nalizimikia enzi za utotoni, kufungua nakuta madogo janja wanatoroka shule... Teh teh teh... Umefanya nikumbuke mbal kwa mara ya pili.. Ahsante mkuu ntalala na kumbukumbu mbili kwa mpigo
 
hapana, ndo wanaingia ndani..huoni kibao cha mtaa kipo hapo walipo? hakiwezi kuwa ndani ya shule, so they are getting in buddy!!!
Duuude!

Umezama sana mimi nilishatoka kapa
 
Back
Top Bottom