Naughty by nature

Naughty by nature

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1430114063874.jpg
 
Kwa hawa dot com kwenye mikoba utakuta kuna games, flash, cd etc na wale wa zamani hakukosi viwembe, mahindi ya kuchoma, mihogo ya kukaanga etc!
 
Ha ha ha.Mimi ndio nilikua muhanga wa kujikata na viwembe ninavyoweka mwenyewe kwenye bag.
Umenikumbusha mihogo na ndizi za kukaanga kwa samaki!
😛😛
 
Jamani mimi nilikuwa mtundu nimepiliza nilikuwa mtundu mpaka walimu wakawa wananiogopa, kilichowashangaza ni kwamba darasani nilikuwa kichwa hasa sipungui no 1-3

Ila begi langu lilijaa vitu kama mifupa skeletons na mafuvu ya wanyama wadogo, tunguli bandia nk nk, begi langu lilikuwa linaogopeka nakumbuka nilichukua kinyonga mdogo nikamshonea kwenye kitambaa cheusi, sasa wakati wa ukaguzi wa madaftari mwalimu kufika kwangu kutoa anakutana na kitu kinapumua akajua ni hirizi...! Sitakaa nisahau ile siku.. Mwalimu kidogo azirai kwa mshtuko
 
Ha ha ha utundu wako wewe ulizidi.Ila huoni unaendana na ile kazi yako uliyokua unaifanya?
Naona ulifuata kazi ya ndoto zako.
 
Ha ha ha.Mimi ndio nilikua muhanga wa kujikata na viwembe ninavyoweka mwenyewe kwenye bag.
Umenikumbusha mihogo na ndizi za kukaanga kwa samaki!
😛😛

tena ya pale ferry ilikuwa balaa..msambaa yule wa mihogo alikuwa anatisha..ukishuka kwenye pantoni tu..nduki kuchukua mahitaji ya lunch
 
I am hurt!! inakuwaje unaijua kazi ya mshana jr? we mshana wewe!!!!

Ha ha ha mimi hua nafuatilia sana nyuzi za mshana jr kwahiyo kwa namna moja ama nyingine nimekua najua vitu vingi kupitia yeye.
Hata kazi yake aliyokua akiifanya aliisema,sasa nitasahau vipi?
JF imekua sehemu ya maisha yangu kwa sasa.Kwahiyo chukulia poa tu.
 
Last edited by a moderator:
tena ya pale ferry ilikuwa balaa..msambaa yule wa mihogo alikuwa anatisha..ukishuka kwenye pantoni tu..nduki kuchukua mahitaji ya lunch

Hahaha kuna wakati mtu unatamani maisha ya utoto yarudi.
Enzi hizo hakuna stress wala aibu kabisa.Ila sasa hivi unaanzia wapi kununua mihogo na kuila barabarani?
 
madogo janja hao...usikute getini kasimama mwalimu mnoko
 
Hahaha kuna wakati mtu unatamani maisha ya utoto yarudi.
Enzi hizo hakuna stress wala aibu kabisa.Ila sasa hivi unaanzia wapi kununua mihogo na kuila barabarani?

mara nyingi tunaouita ustaarabu ni kujipunguzia uhuru na enjoyment ya vitu

Thats why huwa natamani kucheka "wastaarabu" wanavyonitumbuliaga mijicho kwenye hoteli wanazoita za hadhi pale ninapoagizaga kuku au any kind of meat/fish na kunawa mikono..I enjoy it more than them when using hands and they pretend not to realize that!!!!

Mkute jamaa anavyohangaika kumzuia kuku asiteleze mpaka mezani kwa kutumia folk na knife!!!! na kwa makusudi wanakuwekea kwenye sahani flat haina hata ukingo
 
Back
Top Bottom