Natufuta waimbaji wa kike

Natufuta waimbaji wa kike

thejoy

Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
9
Reaction score
0
Habari wana JF. Mimi nina Bendi ya muziki na napiga muziki (live Band) kwenye ma Hotel. Natafuta waimbaji wa kike wawili kwaajili ya kuongeza nguvu kwenye bendi. Bendi ipo Dar es salaam lakini wakati mweingine tuna enda kupiga mikoani hasa Arusha na Mwanza.

Aliye tayari anipigie simu 0782555519 au 0784 207307
 
napata nafasi siku ya jmosi nitakutafuta usijali ingawaje nitakuwa na kashughuli ka familia ila nitakutafuta thejoy
 
Natufuta ndio nini? Hii JF chacha imekuwa inaongoza kwa kiswahili cha ki-nyang'au nyang'au.
 
Mmmh,wataka kuwafanza nini watoto wa wenzio weye,ni kazi kweli au vinginevyo?
 
Back
Top Bottom