"Natoa"

Nimefurahi kusikia unatoa,nimefurahia pia ulichokilenga kwa headline ya thread yako,wanaume sisi bwana kazi sana!
 
Unapatikana mitaa gani Shverz ama ohio? nije na sh. ngapi?
 
Sasa uloshindwa nini kutoa bila kuanzisha thread?!Kama waliokusema utoe walikufuata PM kwanini usiwajulishe huko huko kwamba umewasikia na kuwaelewa?!Au ndo una njaa ya attention?!
 
aaaiiiiii! nimefumba macho sikuoni, to...to...to...tooooooooooaaaa...
 
Sasa uloshindwa nini kutoa bila kuanzisha thread?!Kama waliokusema utoe walikufuata PM kwanini usiwajulishe huko huko kwamba umewasikia na kuwaelewa?!Au ndo una njaa ya attention?!
Haswaaaaa!
 
Sasa uloshindwa nini kutoa bila kuanzisha thread?!Kama waliokusema utoe walikufuata PM kwanini usiwajulishe huko huko kwamba umewasikia na kuwaelewa?!Au ndo una njaa ya attention?!

mhh mbona unamshushua sana jaman..?
mwache jaman...asi ndo uyu alileta thread ya ..JAMAN KITUMBUA CHANGU KIMETUNA MUME WANGU ANAKISIFIA SANA ETI NI KAWAIDA....braaaaaa braaaaaaaaaa ..ukamjibu..BIASHARA MATANGAZO...!!!!!!!
 
pendaneni ninyi kwa ninyi bwana, sitawagonganisha. looh! ila ile avatar kweli imetuna, kazi ya mchina hiyo kumsaidia GOD wakidhani yupo likizo.
 
mhh mbona unamshushua sana jaman..?mwache jaman...asi ndo uyu alileta thread ya ..JAMAN KITUMBUA CHANGU KIMETUNA MUME WANGU ANAKISIFIA SANA ETI NI KAWAIDA....braaaaaa braaaaaaaaaa ..ukamjibu..BIASHARA MATANGAZO...!!!!!!!
Nlikua nimesahau!!Haya Salamia sijui Salimia endelea na matangazo labda mteja atajitokeza soon!
 
can some one do the needful and put this threat at its appropriate place?
 
Nlikua nimesahau!!Haya Salamia sijui Salimia endelea na matangazo labda mteja atajitokeza soon!
Nimetoa.......... wacha nikaoge sasa maana wambea mnaniangalia kwa jicho la husda.
Wee Lizzy sijui Luzi na mwenzio Rose mna wivu,, nadhani mmepigwa pasi huko nyuma ndiyo maana roho inawakeleketa.
 
Nimetoa.......... wacha nikaoge sasa maana wambea mnaniangalia kwa jicho la husda.Wee Lizzy sijui Luzi na mwenzio Rose mna wivu,, nadhani mmepigwa pasi huko nyuma ndiyo maana roho inawakeleketa.
Hahahahah...eti wivu!!!Wivu tuonee kivuli ambacho kinaweza kua cha mwanaume?!
 
Asavali....manake kisa cha kuoteshana usiku??iga mfano wa Lizzy,Shantel n.k,ili tunaposhauriana tukutazame kwa upole kidogo...si unaona ya kwangu????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…