"Natoa"

"Natoa"

kaka unitake radhi tafadhali,, nani kasema hii ni biashala? Na hilo swali lingine nimeshalijibu zaidi ya mara 100 hapa. Hiyo si avatar tu bali ni mimi mwemyewe. Kwanini niweke ya mwingine wakti allah ameniumba nikaumbika? Najiamini sana kwa taalifa yako

ungejiamini usingeweka hilo zigo hapo...
Hapo unaonesha unavyo" scream for attention"...
 
Kaka unitake radhi tafadhali,, nani kasema hii ni biashala? Na hilo swali lingine nimeshalijibu zaidi ya mara 100 hapa. Hiyo si avatar tu bali ni mimi mwemyewe. Kwanini niweke ya mwingine wakti Allah ameniumba nikaumbika? Najiamini sana kwa taalifa yako
Heeee!!!!
Aseee!! Nafikiri Boss alikuwa anauliza kama unalipa Kodi ya Ongezeko la Thamani, Shosti, hiyo kodi inaitwaje kwa kiinglishi?
 
hahahahahaa!!!!
Sasa nyie dada zangu siwaelewi kabisa!!
Poda usoni.........poda kwenye makalio tena???!!!

mimi napenda wale wanaochora piko
kwenye wowowo na sio huyo wa tatoo...
Au wanaoyapa hina hivi....
Tembea uone lol
 
labda amemaanisha awe anapaka asichubuke

hahahahaa!!! ngoja nisiulize tena...........but that is a bit too big of an ass bana!!! (Correct me darling if I am wrong.....u know wara I mean!!)
 
mimi napenda wale wanaochora piko
kwenye wowowo na sio huyo wa tatoo...
Au wanaoyapa hina hivi....
Tembea uone lol
Hahahahahahaaa!!!
Wa Kihabeshi wakichanganya na Nywele zile zinazofika mgongoni!!!!
Walahi unahonga Ngamia!!
 
Ndiyo ni kweli natoa!!
Natoa avatar yangu kuanzia kesho maana naona vijino pembe wamezidi kuniandama na kunitumia pm nyingi sana. Pia naona akina Speaker, Okada, Asprini na wengine wananisakama kwamba nitoe vile haiendani na maadili. Kwa hiyo jamani mnivumilie kidogo, Kesho nitatoa.
Nawasilisha

khaaa? ha ha ha....mzee mwenzangu kishalala huku wajukuu wanamuadhirisha...lol!
 
Hahaha! nimekuja mbio niliposoma 'natoa' kumbe hutoi eboo nina ukame we acha tu lol!
 
iwache weyeeeee! yaani nzi kupiga kelelel weye wastuka iwache bana sie tufaidi!
 
mi nashangaa wanaume wa humu..wao wanatuwekea avatar matata mpaka tunashindwa lala ila watoto wa kike wakiweka kelele mtindo mmoja
Matatizo yangu ya kuishi seminary muda mrefu yanisababisha nisielewe mambo mengi sana!!!
Hebu nambie, avavtar matata za wanaume zinazowafanya nyie mshindwe kulala ni zipi.........mfano mmoja tu!! please!!
Unajua mimi hili kalio halijanistua kabisa!!............tehe tehe!!
 
Matatizo yangu ya kuishi seminary muda mrefu yanisababisha nisielewe mambo mengi sana!!!
Hebu nambie, avavtar matata za wanaume zinazowafanya nyie mshindwe kulala ni zipi.........mfano mmoja tu!! please!!
Unajua mimi hili kalio halijanistua kabisa!!............tehe tehe!!
And....... ze winner is................................
 
Back
Top Bottom