Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Wapendwa simaanishi kuwarudisha kijijini, I mean nyumbani CHIT CHAT.. Hawa wapendwa tulikuwa nao sana humu lakini wameadimika ghafla na hawapatikani kama ilivyokuwa siku za nyuma...
Nawaomba mrudi home, WE MISS YOU....
1. ODM babu Asprin nakumbuka was the most active member hapa, hakuna atakaeingia hapa bila kukaguliwa nae, iwe mchana au usiku, jua au mvua, ofsini au barabarani na kweli kazi aliimudu lakini sasa wapiii!!???? kapotea watoto wanajiingilia tu humu wanarukaruka at their liberty hakuna wa kuwakagua, akina Chocs, ram e.t.c nina uhakika hawajakaguliwa, COME BACK Asprin.. !tumemiss picha mnato....

2. Vin Diesel.... huyu tulikuwa nae na nakumbuka kabla hajapotea alitongoza almost kila mwanamke hapa jamvini, Aliacha kuonekana baada ya Mr Rocky kumpora Mamndenyi, sa hatujui kama ndo alienda kujinyonga ama la.... I wonder what happened to that guy... Vin Diesel rudi haraka.....

3. Mr Lundenga Ruhazwe JR.., huyu ndo alikuwa founder coordinator wa miss chit chat shindano ambalo lilikuwa bambam balaa, nakumbuka baada ya shindano la mwisho mwezi Disemba aliingia kwenye mgogoro na wana Chit chat baada ya kupotea hewani kwa muda kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi kutokana na kupata matatizo ambapo alikuja na akaweka mambo yote sawa na maisha yakaendelea but kitambo kidogo akaadimika humu... tunaumiss mchango wako jukwaani hapa.. come back man....

4. gfsonwin ...Huyu mwalimu mwenzangu kapotea sana hapa jukwaani hasa baada ya matokeo kusababisha watoto wanne wajiue... mara chache amekuwa akionekana mitaa ya MMU na Siasani wakiwa na cacico ambae nae ni mtoro sana hapa....COME BACK bhana... me miss you people vere vere yaani...

Come back people and life must go on despite the stumbling blocks along the way.....
Wasalaam
Mwenyekiti Baba V
 
Last edited by a moderator:
Eti Chocs hajakaguliwa...!
Heeheeeee
 
Last edited by a moderator:
ivi kumbe ukiwa hujakaguliwa unajulikana tu?
 
Na wewe mimisa ndo walewale mliokosa ukaguzi, itabidi Mwenyekiti nichukue hilo jukumu kwako tu. Afu nambie wkend hii tunaimalizaje!?
 
Last edited by a moderator:
kumbe huku kuna makubwa aanh?!subiri kwaaaaaanza....adi wa2 full kukaguana?duh"
 
ivi kumbe ukiwa hujakaguliwa unajulikana tu?

Afu mimisa popote ulipo njoo fasta nikukague kwani hujakaguliwa na kijukuu kipenzi cha ODM niliyekabadhiwa rasmi madaraka ya ukaguzi.
 
Last edited by a moderator:
Nifanyie hisani kwa kunipa namba za simu au hata Skype za Mama v. nina biashara fulani naye.

Mama v yupo kijijini IFWENKENYA anamlea v mdogo, kule hakuna network hata, huwa namwandikia barua afu natuma kwa mafuso yanayokwenda kuchukua mkaa.
 
Last edited by a moderator:
Mama v yupo kijijini IFWENKENYA anamlea v mdogo kule hakuna network huwa namwandikia barua afu natuma kwa mafuso yanayokwenda kuchukua mkaa.

We nipe address Lyamba Lya Mfipa Katavi atanisaidia usafiri wa ungo.
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa simaanishi kuwarudisha kijijini, I mean nyumbani CHIT CHAT.. Hawa wapendwa tulikuwa nao sana humu lakini wameadimika ghafla na hawapatikani kama ilivyokuwa siku za nyuma...
Nawaomba mrudi home, WE MISS YOU....
1. ODM babu Asprin nakumbuka was the most active member hapa, hakuna atakaeingia hapa bila kukaguliwa nae, iwe mchana au usiku, jua au mvua, ofsini au barabarani na kweli kazi aliimudu lakini sasa wapiii!!???? kapotea watoto wanajiingilia tu humu wanarukaruka at their liberty hakuna wa kuwakagua, akina Chocs, ram e.t.c nina uhakika hawajakaguliwa, COME BACK Asprin.. !tumemiss picha mnato....

2. Vin Diesel.... huyu tulikuwa nae na nakumbuka kabla hajapotea alitongoza almost kila mwanamke hapa jamvini, Aliacha kuonekana baada ya Mr Rocky kumpora Mamndenyi, sa hatujui kama ndo alienda kujinyonga ama la.... I wonder what happened to that guy... Vin Diesel rudi haraka.....

3. Mr Lundenga Ruhazwe JR.., huyu ndo alikuwa founder coordinator wa miss chit chat shindano ambalo lilikuwa bambam balaa, nakumbuka baada ya shindano la mwisho mwezi Disemba aliingia kwenye mgogoro na wana Chit chat baada ya kupotea hewani kwa muda kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi kutokana na kupata matatizo ambapo alikuja na akaweka mambo yote sawa na maisha yakaendelea but kitambo kidogo akaadimika humu... tunaumiss mchango wako jukwaani hapa.. come back man....

4. gfsonwin ...Huyu mwalimu mwenzangu kapotea sana hapa jukwaani hasa baada ya matokeo kusababisha watoto wanne wajiue... mara chache amekuwa akionekana mitaa ya MMU na Siasani wakiwa na cacico ambae nae ni mtoro sana hapa....COME BACK bhana... me miss you people vere vere yaani...

Come back people and life must go on despite the stumbling blocks along the way.....
Wasalaam
Mwenyekiti Baba V

Dada Ciello sijui kapotelea wapi..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom