habari zenu wapendwa, natoa mkopo kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni moja kwa wenye magari tu! kwa atakaependa awasiliane nami kupitia 0716 002323. vigezo na masharti yangu kuzingatiwa!!!
we google mbona unataka kuua bendi? gari iwe nzima ili hata ikitokea ukashindwa kulipa mkopo kwa wakati gar iwezwe kuuzwa ili kufidia mkopo uliouchukuaHata gari mbovu naweza kuivuta hadi kwako nikaweka dhamana afu ukanipa million?
n kulipa mkopo kwa wakati na gar iwe nzima ili ikitokea umeshindwa kulipa gar itauzwa ili iwezwe kulipa mkopo uliouchukua, mashart mengine n ya kawaida na yapo kwenye mkataba tutakaosainiana na riba yangu n ya kawaidavigezo na masharti yako vikoje?
bado matatizo hayajakupata na yakikupata utakubaliana na mimi, kuna mtu mmoja mwez july alinifuata alikuwa na shida ya laki tatu na aliweka dhamana ya gari na baada ya muda pesa aliirudsha kwa wakat na aliniambia alipatwa na tatizo kubwa akawa hana hata senti lakn gar ilimsaidia kupata mkopo. kwahivyo usishangae n vitu vya kawaida mkuuLaki tano kwa gari.....???? Kua serious mkuuuu....!!!!!
marahaba matatizo500'000/= kwa dhamana ya gari? Duh, shikamoo matatizo!
Yani uuze gari yangu ya 60m kwa kamkopo ka laki tano??? You can't be serious... Nakushauri hii biashara fanya na wanaomiliki bodaboda.n kulipa mkopo kwa wakati na gar iwe nzima ili ikitokea umeshindwa kulipa gar itauzwa ili iwezwe kulipa mkopo uliouchukua, mashart mengine n ya kawaida na yapo kwenye mkataba tutakaosainiana na riba yangu n ya kawaida
Wewe unamiliki magari mangapi?...... Na wewe ukipata tatizo unaweka rehani hela zako??bado matatizo hayajakupata na yakikupata utakubaliana na mimi, kuna mtu mmoja mwez july alinifuata alikuwa na shida ya laki tatu na aliweka dhamana ya gari na baada ya muda pesa aliirudsha kwa wakat na aliniambia alipatwa na tatizo kubwa akawa hana hata senti lakn gar ilimsaidia kupata mkopo. kwahivyo usishangae n vitu vya kawaida mkuu
Duh!! Hatari sana sheikh!! Kwahiyo ukikopa unamuachia gari au kadi ya gari?BOT wanaanza ku monitor hizi micro finance very soon na zote zitafungwa Kwa vile hazifwati taratibu Za kukopesha watu. Nyingi sio hii siifahamu ni Za kitapeli Kwa mfano easy finance. Unaweka Gari kama dhamana siku ya kulipia uchukuwe hapatikani hewani ukienda unakuta wameuza wanakwambia umechelewa.
Duh!! Hatari sana sheikh!! Kwahiyo ukikopa unamuachia gari au kadi ya gari?
Wajinga ndio waliwao!!
mbona haviendani?bado matatizo hayajakupata na yakikupata utakubaliana na mimi, kuna mtu mmoja mwez july alinifuata alikuwa na shida ya laki tatu na aliweka dhamana ya gari na baada ya muda pesa aliirudsha kwa wakat na aliniambia alipatwa na tatizo kubwa akawa hana hata senti lakn gar ilimsaidia kupata mkopo. kwahivyo usishangae n vitu vya kawaida mkuu
Wiki iliyopita nilisikia habari ya ajabu sana; kuna mtu mmoja naye anatoa mikopo kwa dhamana kama hizo ila ajabu ni kuwa ukishakopa na kumkabidhi dhamana ndio hutalipa tena, na hatimaye jamaa anachukua dhamana uliyoiweka.
habari zenu wapendwa, natoa mkopo kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni moja kwa wenye magari tu! kwa atakaependa awasiliane nami kupitia 0716 002323. vigezo na masharti yangu kuzingatiwa!!!
hahahaha me nilisikiaga kitambo yaani hao jamaa ukikopa kwao wanakua wanafanya mambo ya kishirikina, kama mlikubaliana baada ya mwezi utawalipa, unajikuta mwezi mzima sehemu kuu zote ulizotegemea hata kama ni uhakika wa kupata hela zinakataa, hata kama mshahara mlikua mnapewa tarehe 25 utashangaa wenzako wote wamewekewa kwenye akaunti zao lakini wewe unakuta bado unafatilia unaambiwa sijui kuna matatizo kwenye akaunti au tatizo la kibenki n.k yaani kila njia wanaifunga hadi wakishauza mali yako jnashangaa siku baada ya muda flani unakuta njia kibao zimefunguka