Natoa mkopo kwa dhamana ya gari tu

Natoa mkopo kwa dhamana ya gari tu

Tumefika hapa kwa kulazimishwa??? Tujiunge tufungue vijimiradi vidogo vidogo vya kutusaidia wenyewe tuachane na huu utapeli!!!!
 
habari zenu wapendwa, natoa mkopo kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni moja kwa wenye magari tu! kwa atakaependa awasiliane nami kupitia 0716 002323. vigezo na masharti yangu kuzingatiwa!!!
Ok,

Nakupa gari ya 6Mill kwa mkopo wa 1mil.
Siku nikishindwa kulipa hiyo 1mill yako ukaiuza gari yangu kwa labda 5mil, chenji utanirudishia? ?
 
habari zenu wapendwa, natoa mkopo kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni moja kwa wenye magari tu! kwa atakaependa awasiliane nami kupitia 0716 002323. vigezo no masharti yangu kuzingatiwa!!![/QUOTE

Unapatikana wapi nataka laki tano
 
Jamani bora shikamoo matatizo kuliko hawa jamaa!
 
FRANK JB,Kutana na Mungu aishie milele na akuepushe na Laana hiyo ya biashara unayofanya!!acha kabisa,
 
habari zenu wapendwa, natoa mkopo kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni moja kwa wenye magari tu! kwa atakaependa awasiliane nami kupitia 0716 002323. vigezo na masharti yangu kuzingatiwa!!!

orodhesha hivyo vigezo na hayo masharti tuone Kama kweli tutayaweza.
 
Tumefika hapa kwa kulazimishwa??? Tujiunge tufungue vijimiradi vidogo vidogo vya kutusaidia wenyewe tuachane na huu utapeli!!!!

Well said Elli. Frank jb ni tapeli hatari anayetumia ushirikina wa kina Papaa Msofe
 
Last edited by a moderator:
habari zenu wapendwa, natoa mkopo kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni moja kwa wenye magari tu! kwa atakaependa awasiliane nami kupitia 0716 002323. vigezo na masharti yangu kuzingatiwa!!!

Mkopo wa laki moja kwa sie wenye baiskeli
 
mkopo! mkopo! kwa wenye magari tu, nyote mnakaribishwa! wenye majungu endeleen na majungu yenu!
 
mkuu sio sawa kabisa...

bora kukopa bank na sio kwako...sio vizur kutumia matatizo ya mtu kujinufaisha tena kwa kumkandamiza
 
haweIpata mtu hata Mmoja maana huyu ni tapeli,mdhulumaji,Muuaji na asiefaa kabisaa!!Mpuuuzi saana eti laki 5 kwa gari,gari ya babako???unacheza na masiha ya watu mpuuuzi saaana huyu!!@Frankjb
 
Back
Top Bottom