Unataka kuiba gari za watu?
nimeiprnda hii huyu di dalali tapel.utakuta unaacha gar hafu yeye anapigia misele,si bora niuze mwenyewe gari angu.
Gari na kadi naacha kwako?n kulipa mkopo kwa wakati na gar iwe nzima ili ikitokea umeshindwa kulipa gar itauzwa ili iwezwe kulipa mkopo uliouchukua, mashart mengine n ya kawaida na yapo kwenye mkataba tutakaosainiana na riba yangu n ya kawaida
Hata mm niliingiwa na ganzi kwa maelezo hayo.Laki tano kwa gari.....???? Kua serious mkuuuu....!!!!!