@>~~Natoa like ya 5000 (my 5000th like)~~<@

Just for information, like ya 4000 nimeipokea toka kwa bi Neiwa kule jukwaa la siasa (tarehe 14). Asante mwaya.

:A S 465:Asanteni:A S 465:


hahaha! kama hutajali naomba nioneshe hio post dada nione kama ilistahili ama nilikosea tu. Nimeguswa kukumbuka kwako, kutakuwa kuna kitu spesheli kwenye hio post. Nipatie tafadhali... lolz.
 
hahaha! kama hutajali naomba nioneshe hio post dada nione kama ilistahili ama nilikosea tu. Nimeguswa kukumbuka kwako, kutakuwa kuna kitu spesheli kwenye hio post. Nipatie tafadhali... lolz.

Neiwa hujambo? Karibu chit chat. Nitafuturisha leo kama umefunga. Lol
 
Last edited by a moderator:


Haya bhana sitii neno mieeee.....
 
hivi Roulette, hiyo like unaninyima au? ujue sio vyema hivyo, mie naisubiria?
 
Last edited by a moderator:
Roulette mimi hujawahi nipa.......kwa hiyo hii ni zamu yangu na mimi nataka.......usininyime tafadhali

Naomba urekebishe lugha kwanza, khaaaa! Shem Kaizer, umemsoma huyu na umemwacha kweli???
 
Last edited by a moderator:
Naomba urekebishe lugha kwanza, khaaaa! Shem Kaizer, umemsoma huyu na umemwacha kweli???

Shem Roulette watoto wengine makuzi yao ndo ivo,,, wasije wakatuharibia sherehe bure. mtu chake anamtosha huyo hataruhusiwa kuingia ukumbini wakati tunacelebrate like ya 5000. relax
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha............ Kudagadedededeki!! ODM akiunganisha dots kwenye red anakonkludi kama ifuatavyo.................

Imemnyea!!! Hahahahaha Pole samaki!!
hubby hebu jiamini jamani! haniwezi huyo ng'o! luv u hubby wangu kha!
 
Hujambo dada. Mume wako mpenzi na wajukuu zangu niwapendao wanaendeleaje. Wape salamu zangu.
 
Hahahah waif bana. Najua hakuwezi huyo "rijali" lol. Karibu tupalilie mihogo. Leo kishambani zaidi.

Kuna forum fulani nilitembelea nikakuta mtu ana avatar kama yako, wacha nianze kumpigia kelele nikidhani ni wewe: ODM, ODM, niko pande hii! Kumbe ni mwanamke, tena kibibi. hahahaha
Salama lakini?
 
Hahahah waif bana. Najua hakuwezi huyo "rijali" lol. Karibu tupalilie mihogo. Leo kishambani zaidi.
khaaaaa i mithd u! si ulisema mie mke mdogo silimi?? lol, usibadilishe makubaliano yetu hubby kama vasco na nssf! lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…