Natishika na Wanaume wanaoimba Taarab | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natishika na Wanaume wanaoimba Taarab

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ngekewa, Mar 14, 2012.

 1. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wenzangu nimekuwa nikibrowse Forum ya Mahusiano huku nikiangalia ITV ikionyesha Taarab. Kwa bahati mbaya nimekuwa nikikwazika na waimbaji wengi wa kiume kwa kipindi kirefu lakini leo kwa vile niko hapa nimeamuwa kutowa dukuduku langu.
  Ni kipi hasa kinachowapelekea wenzetu wa Kiume kuipenda fani hii?
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  music like any other musician
   
 3. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Lakini natishika na baadhi ya waimbaji wa kiume kule kuigiza jinsia nyengine!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna ubaya gani? Bora hao waimba taarabu kuliko waliopo mtaani hawana a wala b.
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  'wanaigizaje' jinsia nyengine?
   
 6. A

  ANTA Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuimba ni kipaji. wana kipaji, kama mzee Yusuf, ametushiii. nawe kajaribu kuimba walau kibwagizo tu, utakoroma.
   
 7. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mi naona ni kama fani nyingine.. Tena wanaume waimba taarab huwa wanavimaneno fulani vitamu kusikiliza..
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nimekutafutaje ! Mama ya Boma ? Nimeanzia Siasa holaa !
  Habari mchanganyiko holaa !
  Sijui International, najua uko wodini, lakini, ndy uzuri wa Prvt Hosp, Doctor nimeongea nae nikafanya nae manuva kaniruhusu niku'pik na nikurejeshe asubuhi, twen'zetu my love ukanipe .
  Pumzisha kichwa na majukwaa , si ndiyo ?
   
 9. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  mbona husemi unatishika na ze comedy
  Na nguo zao za kike?
   
 10. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sauti na kuweka vidole juu!
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nilisema baadhi!
   
 12. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Unaona basi, sasa hayo ndio yanayonikwaza mimi. Kwanini huwa mnawapenda?
   
 13. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sitishiki na muigizaji bali natishika na anaetaka kujifanya wakati sie!
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Sauti zina nini na hivyo vidole juu inakuwaje?
  Nipe na mifano ya hao waimbaji wanao kukwaza
   
 15. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  tena hao wakikulia mkeo umekwisha coz wanajua kucheza na saikoloji ya hawa viumbe in general na on bed coz muda mwingi wako nao
  trust me
   
 16. s

  shosti JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  bora utishike tu maana mamabo yao si mazuri...uwakute sasa wanakula kashata za kungu utajiuliza mara mbilimbili!
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hahahaha! Nakuja mpenzi. Ngoja nikamuage cousin wangu kwanza.
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ok ! Niko garini nje hapo,
  Nipate lepe kidogo, ukiwa tayari ni'beep.
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  ushawahi kuwasikiliza Sikinde, Ndekule, Msondo, Matimila, Bima Lee, Zembwela etc ?
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kinachonikwaza mimi kwa hawa wanaume wanaoimba taarab ni yale maneno wanayoyatumia..
  Hayajakaa kiume kabisa!!
   
Loading...