Jonii Mtoaroho
Member
- Feb 15, 2012
- 12
- 0
Naomba kueleweshwa ule mradi wa vitambulisho vya utaifa utafanyaje kazi?
Je kutakuwa na central computerized database? na kama utakuwa hivyo utafanyaje kazi wakati kuna wazalendo kibao wanaotumia eidha vyeti vya magumash au majina ya watu wengine?. Ninachojua km taarifa za watu wawili zinafanana kwa kitu, mfumo lazima utachanganyikiwa na kung'ang'ania kuwatema hao watu hadi data ziwekwe sawa!