chegreyson
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 974
- 434
Unasema ukilala na mwanamke hawaji kabisa?
Nenda kwa mzee wa upako ubungo kibangu ,hata kama ww ni muslim au tafuta mlokole wanayatimua faster!
Unasema ukilala na mwanamke hawaji kabisa?
Mkuu biblia sio hirizi, kuweka tu mchagoni haisaidii, chini ya pillow atachana karatasi bure tu, atafute mtu makini anayemjua Mungu afanye maombi hapo home kwake, kwisha kazi. Ishu ndogo sana hiyo.Pole sana kwa hili, kazana kuomba hata kama watakuwa wameondoka, inuka na piga maombi usali. kama wewe ni mkristo basi kumbuka kuweka biblia chini ya pillow yako.
Kula pombe ndo ulale hao ni wachawi wanakuletea offer ya kuingia kwenye contract ya kuloga so Hang'over na uchawi haviendani watakupotezea.Nipo serious kaka.
naombeni msaada
usiku nikilala natembelewa na watu nisiowajua,yaani kila siku kuna watu wanakuja chumbani kwangu halafu tunakaa na kuongea,wakiondoka tu na mimi naamka mara nyingi inakuwa mida ya saa tisa usiku,nikiangalia milango yote imefungwa najaribu kuangalia kama kuna mtu pale ndani lakini hakuna kitu,naombeni msaada jamani hili jambo linanisumbua sana
Pole sana kwa hili, kazana kuomba hata kama watakuwa wameondoka, inuka na piga maombi usali. kama wewe ni mkristo basi kumbuka kuweka biblia chini ya pillow yako.
Mkuu umeuliza mambo muhimu'mimi ni mwanaume wa 39yrs'mimi ni single na mara nyingi sana nalala peke yangu'wanaokuja nashindwa kujua kama ni wanaume au wanawake lakini kuna kipindi wanakuja wawili'watatu au mmoja'
Mkuu kuna wakati nawaza labda ni baadhi ya wanawake ninaokutana nao mara kwa mara'ninaamini hawatanidhuru lakini hili jambo linaninyima usingizi'ila nikilala na demu hawaji kabisa
Jiombee kwa imani yako, wakemee na ujitenge nao. Funga kwa siku hata 2 na uweke alarm uamke saa nane na kusali. Wakija wakikukuta unasali wataishia zao