Pole sana,lakini unaamini kuwa kuna mtu anaweza kupita mlango ukiwa umefungwa?
Delegate: hujatuambia mnaongea nini na hao wanao kutembelea?
na hao watu ni wa Haina gani (ke/Me), na wanakuja kwa taswira ya ubaya au uzuri?
ukijibu ili utawapa wadau uwanja mpana wa kukusaidia! pia wewe unaintaract na watu wa Haina gani?
katika Swahili neno "KUTEMBELEWA" some time inabeba -ve connotation, wewe yako ni ipi?
pole sana!
Pole mkuu. jitahidi uwe unasali kabla ya kulala na ukiweza fungua zile redio za dini kwa sauti ndogo ukeshe nazo.