Nateseka kungoja

si urudi nyumbani tu Kaizer!! huchoki kumngoja!! teh mdada nenda bas!! akifika utuambie tumjue!!
 
Last edited by a moderator:
hv bado unamsubiri tu? mwenzio huwa wanawafata mwe! we endelea kuchomeshwa mahindi. hebu kamfate wewe!
 
hv bado unamsubiri tu? mwenzio huwa wanawafata mwe! we endelea kuchomeshwa mahindi. hebu kamfate wewe!
charminglady kumbuka kwao siwezi kumfata kuna mbwa wakali, hakuna simu, ni ile nipo chini ya mti flani hivi nasubiri atokee...taswira yake bado kumkichwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom