Mateso bila chuki. Pole mwaya.
Ukizidiwa kamata panadoo
Mateso bila chuki. Pole mwaya.
Ukizidiwa kamata panadoo
JF ni zaidi ya burudani,
Mie pia nilikuwa mpweke jana....
Hivi na wale waotafuna pensheni zao wana nafasi tena??
Ngoja nisubiri, naweza kupata mtu wa kuniboost kama betri ya gari automatic....lol!!
Babu DC!!
y u gotta do that to me...thats not fair jamani
ni mwanamke umri 27 'nimegundua nina upungufu kwa kutokuwa na mpenzi kwa muda sasa kwani jana mean valentine pamoja ya kwamba nilikuwa na sis yangu na mdogo wangu lakini kuna mda kama saa 8 ivi nilijihs upweke saaana nikagundua mapenzi yanaumuhimu katika maisha yetu binaadam tatizo sijapata mwanaume ninayemhitaji yan naongea kwa kumaanisha i need true love seliosry...! plz mnipm bt niwale wenye akili timam tu mana wengine wanadhani ni utani nataka wanaume wanaojitambua tu!.... plz

ndo nakubust hivi
hujagundua tu?

Ukiona pm inatoka kwa mzabzab nakushauri ipotezee, wala usiifungue lol!
Inaonesha umekuwa too selective mno. Subiri uzeekee nyumban ndo ujue raha ya kuringa
y u gotta do that to me...thats not fair jamani
Si ndo mambo yako hayo! Ha haaa
hahaha acha hizo besty mbona nyie wanawake are all against me tena au wote mwataka kuonja dushelle langu
Thubutuuuuu,nani atake kuonja!?labda mgeni MMU
ni mwanamke umri 27 'nimegundua nina upungufu kwa kutokuwa na mpenzi kwa muda sasa kwani jana mean valentine pamoja ya kwamba nilikuwa na sis yangu na mdogo wangu lakini kuna mda kama saa 8 ivi nilijihs upweke saaana nikagundua mapenzi yanaumuhimu katika maisha yetu binaadam tatizo sijapata mwanaume ninayemhitaji yan naongea kwa kumaanisha i need true love seliosry...! plz mnipm bt niwale wenye akili timam tu mana wengine wanadhani ni utani nataka wanaume wanaojitambua tu!.... plz
duh! unatafuta mwanaume au wanaume?
mi nimeona hapo kwenye '''seliosry''