nateseka kiukweli..

nateseka kiukweli..

ni mwanamke umri 27 'nimegundua nina upungufu kwa kutokuwa na mpenzi kwa muda sasa kwani jana mean valentine pamoja ya kwamba nilikuwa na sis yangu na mdogo wangu lakini kuna mda kama saa 8 ivi nilijihs upweke saaana nikagundua mapenzi yanaumuhimu katika maisha yetu binaadam tatizo sijapata mwanaume ninayemhitaji yan naongea kwa kumaanisha i need true love seliosry...! plz mnipm bt niwale wenye akili timam tu mana wengine wanadhani ni utani nataka wanaume wanaojitambua tu!.... plz

I'm 27 aged Male and seriously seeking for a fiance to be my wife if God wishes.
am I allowed to submit my proposal to you?........serious
 
mimi nna vigezo vyote shida umri!!!! ila poa mi niko tiari.....weka picha tuende sawa!!!!
 
Mbona conquer hutaki kuwa conqueror bwana? Pquite amesema kama uko serious mpm, na wewe tena unasema akupm. Sasa si mtaishia hapo tu lol! Good luck!
pole sana kwa upweke, nimekuwa nikijiandaa kabla ya kutafuta mke,sasa nimejidhatiti kiuchumi, kwa hiyo natafuta mke seriously, Im 37 a commited christian na nina kazi nzr. Ni pm km upo serious kweli.
 
Nenda pm wewe, mbona huelewi? Halafu wewe ni 27 kweli mmmh?

I'm 27 aged Male and seriously seeking for a fiance to be my wife if God wishes.
am I allowed to submit my proposal to you?........serious
 
Ukiona pm inatoka kwa mzabzab nakushauri ipotezee, wala usiifungue lol!
 
Last edited by a moderator:
Kama upo serious onana na viongozi wa dini watakusaidia
 
pole dada kwa masahibu yaliyokupata, naomba ni pm tutafutane mim nina umri wa miaka 33 unaweza ukanifaa
 
Shosti mbona umelizusha humu!!!! humu ma single and available ndio usiseme,ukitaka wenyenazo wanaojua kuenzi ndio usiseme, weye tuuuuuuuu na chaguo lako hapa unapata kile roho inapendaaa.. Good luck..
 
Speculation speculation speculation.... FP I am not good in that area. Mzima weye!?

hapa lazima kuna mtu kakujibia, lol!
eti BAK unaamini haya ni maneno ya babu DC huyu huyu tunayemfahamu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom