umeooonaeee!.
pquite kama uko crius kutaka mme ni bora usijibizane na wa2 humu ili kuonyesha busara yako, otherwise unatania....wish u ol da best
pole.dada yangu.kwanza kabisa napenda ujue kusudi la mungu juu ya maisha yako.usipojua utapotea kabisa.mume mwema utoka kwa.mungu.usipojua jambo hili na kumwomba mungu sana juu ya mume wako.ukatumia akili zako utapata masharo baro watakao kuchezea na sio kukuoa.ushauri wangu piga goti kwa mungu akupe mume bora.
ni mwanamke umri 27 'nimegundua nina upungufu kwa kutokuwa na mpenzi kwa muda sasa kwani jana mean valentine pamoja ya kwamba nilikuwa na sis yangu na mdogo wangu lakini kuna mda kama saa 8 ivi nilijihs upweke saaana nikagundua mapenzi yanaumuhimu katika maisha yetu binaadam tatizo sijapata mwanaume ninayemhitaji yan naongea kwa kumaanisha i need true love seliosry...! plz mnipm bt niwale wenye akili timam tu mana wengine wanadhani ni utani nataka wanaume wanaojitambua tu!.... plz
Naona mie nimepigwa chini,
Haya bwana, kwa herini...
Mkatafutane wenyewe kwa wenyewe..lol!!
JF ni zaidi ya burudani,
Mie pia nilikuwa mpweke jana....
Hivi na wale waotafuna pensheni zao wana nafasi tena??
Ngoja nisubiri, naweza kupata mtu wa kuniboost kama betri ya gari automatic....lol!!
Babu DC!!
we unahisije?
We huelewi ulichopost? mwishoni, umeandika unatafuta wanaume..so utakuwa unafanya biashara!!
Hahahahaha lol! haya Babu!!! Bibi akisoma hii utanuniwa ile mbaya halafu atasusa kukupikia mahanjumati.
hapa lazima kuna mtu kakujibia, lol!Hawezi kukuona bwana,
Sie wa 1947 tulifundishwa kuwa bibi lazima awe na msaidizi.